Mwanafunzi Alfred Shauri wa sekondari ya Feza Boys ya jijini Dar es Salaam ameongoza kwa kufanya vizuri Tanzania nzima katika ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) jana limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016.

wanafunzi_0

Kwa upande wa masomo, amesema ufaulu katika masomo ya History, Geography, Kiswahili, English Language, Basic Mathematics, Physics, Biology, Commerce na Book keeping umepanda kwa kati ya asilimia 0.12 na 8.08 ikilinganishwa na mwaka 2015.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *