Kiungo wa klabu ya Arsenal, Mohamed Elneny anaecheza timu ya taifa ya Misri uhenda akakosa michezo yote iliyobaki ya Afcon kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.

Kama Misri ikiingia fainali kulingana na ripoti ya madaktari uhenda akacheza kwenye hatua hiyo ya michuano ya Afcon.

Elneny ni miongoni mwa wachezaji wakali wa Misri na tayari amekumbwa na tatizo la kifua wakati wa mchezo wa nusu fainali wakati timu yake ilipomenyana na Morocco.

Meneja wa timu timu ya Misri Ihab Lehata amethibitisha kuwa Elneny huenda asiingie uwanjani tena katika michuano hiyo.

Leo Misri inatarajiwa kucheza nusu fainali ya michuano ya Afcon dhidi ya Burkina Faso ikiwa ni nusu fainali ya kwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *