Mcheza tenesi Roger Federer kutoka Switzerland, ameshinda ubingwa wa Austaria Grand Slam baada ya kumshinda Rafael Nadal kwa seti tano mfulululizo.
Ushindi huo ni wa 18 wa Grand Slam kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano katika fainali ya mashindano ya Australian Open.
Federer mwenye umri wa miaka 35 alishinda kwa seti 6-4 3-6 6-1 3-6 6-3 na kupata ushindi wake wa tano wa Melbourne.
Nadal mwenye umri wa miaka 30 yuko nafasi ya pili sawa na Pete Sampras.
Ushindi mkubwa wa mwisho wa Federer ulikuwa wa Wimbledon mwaka 2012.