Aliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) Leodger Tenga anagommbea uongozi kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Tenga ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa Mabaraza ya Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) anawania nafasi ya ujumbe wa Baraza la Fifa.
Tenga anashindana na gwiji wa zamani wa soka wa Zambia Kalusha Bwalya na Kwesi Nyantakyi kutoka Ghana.
Uthibitisho wa uwakilishi wa nafasi hizo saba kutoka Afrika utafanywa na Fifa uku uadilifu kikiwekwa kama kigezo cha kushinda nafasi hizo.
Nafasi hizo saba zinawaniwa kutokana na uwakilishi wa kikanda, jinsia na lugha.
Ukitoa maombi ya wazi ambazo zimeombwa na watu watano ambao watawania nafasi tatu ambazo hazina nafasi maalumu kwa wanawake, wengine wote watalazimika kuwania nafasi moja. Uchaguzi huo utafanyika Machi ambao watakaochaguliwa watakaa madarakani mpaka mwaka 2021.
Wanaotaka mabadiliko watakuwa na furaha kwamba Rais wa muda mrefu wa Shirikisho la Soka la Afrika(CAF) atashindana na Ahmad Ahmad wa Madagascar kuwania moja ya nafasi hizo.
Amesema kwa sasa viongozi wanatakiwa kujielekeza katika kufufua na kuimarisha jumuiya za chama ambazo katika baadhi ya maeneo hazifanyi kazi vizuri ili zianze kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia kanuni na taratibu za chama.