Nahodha wa kikosi cha Gabon na mshambuliaji wa timu ya Borussia Dortmund, Pierre Aubemeyang ametajwa kukiongoza kikosi cha nchi hiyo kwaajili ya michuano ya AFCON  itakayofanyika nchini kwao.

Kikosi kamili cha Gabon.

Magolikipa:

Didier Ovono (Oostende, Belgium), Yves Stéphane Bitséki Moto (CF Mounana), Anthony Mfa Mezui (unattached).

Walinzi: Lloyd Palun (Red Star, France), André Biyogho Poko (Karabukspor, Turkey), Aaron Appindangoye (Stade Lavallois, France), Franck Perrin Obambou (Stade Mandji), Bruno Ecuélé Manga (Cardiff City, Wales), Yoann Wachter (CS Sedan Ardennes, France), Johann Serge Obiang (Troyes, France), Benjamin Zé Ondo (Mosta FC, Malta)

Viungo:

Mario René Junior Lemina (Juventus, Italy), Junior Serge Martinsson Ngouali (IF Brommapojkarna, Sweden), Levy Clément Madinda (Gimnàstic, Spain), Guélor Kanga Kaku (Red Star Belgrade, Serbia), Merlin Tandjigora (Meixian Hakka FC, China), Didier Ibrahim Ndong (Sunderland, England), Samson Mbingui (Raja Casablanca, Morocco)

Washambuliaji:

Pierre Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund, Germany), Malick Evouna (Tianjin Teda FC, China), Denis Athanase Bouanga (Tours, France), Serge Kevyn Aboue Angoue (Uniao Leiria, Portugal), Cedric Ondo Biyoghe (CF Mounana)

Wachezaji wa akiba walioandaliwa kwaajili ya kuchukua nafasi ya wachezaji watakaopata matatizo kabla ya kuanza kwa AFCON:

Axel Meyé (Eskisehirspor, Turkey), Johan Lengoualama (Raja Casablanca, Morocco), Donald Nzé (AS Pelican)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *