Mwandishi mkongwe wa fasihi ya kiingereza kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Henry R. Ole Kulet aliwahi kuandika kitabu na kukipatia jina ambalo lilikuwa swali na linaendelea kuwa swali muhimu: IS IT POSSIBLE?

Je, muziki wa Tanzania unaweza kutusaidia kujibu swali hili kwa kuzingatia ubora wa wasanii wetu?

Waingereza wanajivunia kuweza kulijibu swell hilo kupitia kwenye muziki kwa kuwatumia wasanii watano waliounda kundi la SPICE Girls amble had leo rekodi yake ya kuuza zaidi ya nakala milioni 80 za kazi zao kwa kipindi chote walichokuwa pamoja imeendelea kuwapa heshima chubby duniani.

Je, Ruby, Vanessa Mdee, Maua Sama, Linah, Pipi, Jay Dee nk wanaweza kututengenezea SPICE Girls ya Bongo kama walivyofanya Unique Sisters kisha wakapata mafanikio mkubwa ndani ya Afrika na kuipa heshima zaidi Tanzania?

 

SPICE GIRLS: (L – R) Melanie Brown (Scary Spice), Melanie Chisholm (Sporty Spice), Geri Halliwell (Ginger Spice), Victoria Beckham, née Adams (Posh Spice) & Emma Bunton (Baby Spice)
SPICE GIRLS: (L – R)
Melanie Brown (Scary Spice), Melanie Chisholm (Sporty Spice), Geri Halliwell (Ginger Spice), Victoria Beckham, née Adams (Posh Spice) & Emma Bunton (Baby Spice)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *