Wizara ya mambo ya nje nchini Morocco imemlaumu mkuu wa tume ya Muungano wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kuhujumu jitihada zake za kujiunga na muungano huo miaka 32 tangu iondoke.

Moroccco ilijiondoa mwaka 1984 wakati AU ilitambua eneo la Western Sahara kuwa huru na kulisajili kama mwanachama wake.

Morocco inasema kuwa eneo la Western Sahara ni sehemu ya himaya yake.

Taarifa hiyo imesema kuwa “Takriban nchi 36 kati ya 54 wanachama wa AU hazitambui eneo la Western Sahara kama lililo huru na ni wakati wa kufuta uamuzi huo’.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *