Baada ya aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kujiuzuru nafasi ya ubunge katika jimbo hilo, hatimaye Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuandikia barua mwenyekiti wa tume ya Uchgauzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kuhusu kuwa wazi kwa jimbo hilo.