Harmonize amnunulia Range Rover Kajala
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ameendelea kuonesha hisia zake za kimapenzi na kutokata tamaa ya kutaka kurudiana na ‘X’ wake Kajala kwa kutumia mbinu za zawadi za gharama. Licha ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ameendelea kuonesha hisia zake za kimapenzi na kutokata tamaa ya kutaka kurudiana na ‘X’ wake Kajala kwa kutumia mbinu za zawadi za gharama. Licha ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo ametangaza kuwa kesho kuanza na kazi yake ya kwanza kutoka kwenye album yake ya kwanza itakayotoka hivi karibuni.Marioo ametangaza kuwa ataachia wimbo wa kwanza kutoka…
Mwanamuziki wa Bongo Feva, Harmonize amewajia baadhi ya watu wanaosema kuwa amenunua views baada ya wimbo wake mpya kufikisha views milioni moja ndani ya dakika 3 Baada ya watu kulalamika…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Juma Jux ameweka msisitizo kuwa hatomuacha mpenzi wake licha ya kuvumishwa kwa taarifa kuwa kwa sasa penzi lake limevunjika. Jux aliweka msisitizo huo kupitia Insta Story…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Frida Aman amefunguka na kusema kuwa mwanamuziki mwenzke amesema Ben Pol sasa ameingia kwenye CV yake ikieleza kuwa amefanya naye kazi.Wakiwa kwenye pozi tofauti, Frida Aman…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy ametolea ufafanuzi suala la yeye na Billnass kuacha Muziki baada ya ndoa yao kufanyika. Dhana hiyo iliyopo kwa baadhi ya mashabiki wake kuhusu ndoa anayotarajia…
Muigizaji wa Bongo Movie, Kajala Masanja ameonekana hana nia ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Harmnize licha ya mwanamuziki huyo kuomba msamaha. Kajala amekuwa akitoa jumbe mbalimbali ambazo zimekuwa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amevunja rekodi ya Youtube kupitia video yake mpya ya Mdomo aliyomshirikisha msanii wa lebo yake Ibraah kwa kupata watazamaji Milioni 1 na laki 3 ndani ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameingia kwenye mkataba wa kuwa Balozi wa Mtandao wa Mawasiliano nchini Airtel. Diamond atakuwa na kazi ya kutangaza ubora na uimara wa huduma ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ruby amezua taharuki kote mitandaoni muda mfupi baada ya kuweka chapisho kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiashiria kuwa anapitia wakati mgumu kwenye maisha yake…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo na Mimi Mars wamedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini wawili hao wamekuwa wakikanusha habari hizo. Baada ya tukio la ugawaji wa tuzo za muziki…
Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ali Choki amefunguka na kusema kuwa ana jumla ya watoto 9 na wajukuu watatu hadi sasa. Watoto hao aliwapata na mama tofauti tofauti kwa sababu aliishi…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya maarufu kama AY ametangaza kolabo yake na Bienaimesol ambaye ni mwimbaji wa kundi la Sauti Sol tokea nchini Kenya.AY ambaye ni mwanamuziki wa kwanza…
Mwanamuziki wa hip hop Bongo, Young Killer ameachia video ya wimbo uitwao 'Ngosha' kama alivyo aahidi kuachia wimbo wake wa kwanza kutoka kwenye album yake ijayo.Young Killer ambaye ni mzaliwa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amesema kuwa wasichana wengi wanatamani kuolewa na yeye na kila mara amekuwa akipokea maombi yao. Dimpoz ambaye amekuwa kimya kwenye muziki amesema kuwa hiyo…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba anatarajia kuachia wimbo mpya akiwa na mwanamuziki mwenzake wa Bongo Fleva, Nandy. Barnaba amemsogeza mshindi wa tuzo za TMA kwenye uandaaji wa kazi zake zitakazopatikana kwenye…
Mwanamuziki wa muziki wa Dansi nchini, Christian Bella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuukubali muziki wake na kumpongeza. Tukio hilo lilijiri kwenye uzinduzi…
Mama mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, mama Dangote ameendelea kuwaaminisha watu kuwa mwanawe huyo yupo mbioni kufunga ndoa. Inasemekana kuwa Diamond Platnumz amempata mwenza ambae anatarajia kufunga…
Mwanamitindo nguli kwenye tasnia ya urembo, na mtanzania mwenye makazi yake huko nchini Ufaransa Miriam Odemba, ameendelea kuonesha mahaba mitandaoni kwa msanii Ibraah kutoka Konde Music World Wide. Akiendelea kuonesha…
Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Wakazi ametangaza kuachia albam yake mpya aliyoipa jina la Beberu ambayo itatoka hivi karibuni baada ya kukamilika. Wakazi ametangaza ujio wa album hiyo baada ya…
Mwanamitiondo wa Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka na kusema kuwa, huwa anachukizwa na baadhi ya watu kudharau kazi za watu wengine huku akisema kama ikitokea mtu akamfanyia hivyo wataishia kugombana. Hamisa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ameamua kutoa pongezi kwa wasanii wenzake na washindi wa tuzo za muziki nchini Tanzania music awards TMA kwa ushindi wao wa tuzo hizo.Moja kati ya…
Mwanamiziki wa Bongo Fleva, Nandy amefunguka na kusema kuwa hawezi kushika na kukagua simu ya mpenzi wake kwani kila mmoja ana mipaka yake. Nandy amesema hayo wakati wa uzinduzi wa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize ameendelea kumuomba msamaha mpenzi wake wa zamani ambaye ni muigizaji Kajala Masanja baada ya kukiri makossa yake. Harmonize amekuwa hang’ati maneno; anachotaka ni kumuona Kajala…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu amejinadi katika mtandao wa Twitter na kutamba kuwa yeye ndio msanii pekee wa kike anayelipwa zaidi kutoka ukanda wa nchi za AfrIka mashariki kwa sasa.…
Licha ya kukosa tuzo, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Jux amewapongeza waandaaji wa tuzo za TMA zilizofanyika wiki hiliyopita jijini Dar es Salaam. Jux ameonesha heshima na kufurahishwa na ujio wa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy amefunguka na kusema kuwa anatamani kabla ya kufa aache alama kwa vijana mbalimbali ambao wamekatishwa tamaa kwasababu mbalimbali. Nandy amesema hayo kwenye mdahalo mfupi wa…
Muigizaji wa Bongo Fleva, Wema Sepetu amesema watu waache kufuatilia maisha yake kwani kila mtu ana maisha yake hivyo siyo vizuri kufuatiliana. Wema amesema kuwa anashangaa watu wanavyomjadili utafikiri wameona…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Jux amekosa kupata tuzo za TMA licha ya kutajwa kuwania vipengele sita katika tuzo hizo. Jux ambaye ametesa na vibao mbalimbali ikiwemo Sisikii, Upo Juu na…