Baba Levo amtaka Kajala asikubali kurudiana na Harmonize
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Baba Levo amefunguka na kusema kuwa anamshauri Kajala asirudiane na mpenzi wake wa zamani, Harmonize. Kauli hiyo ya Baba Levo imekuja baada ya kuenea habari mitandaoni…