Ommy Dimpoz ashinda tuzo ya Swahili Fashion
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanamitando bora wa kiume katika maonyesho ya Swahili Fashion. Baada ya kushinda tuzo hiyo mwanamuziki huyo amewashukuru mashabiki wake waliomuwezesha…