Mkutano mkuu wa FIFa kufanyika Tanzania Februari 22
Mkutano mkuu wa FIFa wa Mwaka utakashirikisha mataifa 19 utarajia kufanyika Tanzania Februari 22 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mkutano huo, Rais wa FIFA…
Mkutano mkuu wa FIFa wa Mwaka utakashirikisha mataifa 19 utarajia kufanyika Tanzania Februari 22 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mkutano huo, Rais wa FIFA…
Umoja wa Mataifa umemwambia Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila kutimiza ahadi aliyoiweka ya kuachia madaraka na kupisha uongozi mwingine. Rais Kabila mwenye miaka 46, ameiongoza DRC kwa…
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imekipiga faini kituo cha runinga cha Star TV ya jumla ya shilingi milioni 7.5 kwa makosa ya ukiukwaji wa taratibu za kutangaza taarifa ya habari,…
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu na mratibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameitwa katika Kituo Kikuu cha Polisi mkoani humo…
Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Irene Uwoya amesema kuwa hawezi kuusahau mwaka 2017 kwani amekumbana na vitu vingi maishani mwake kuliko mwaka wowote. Uwoya amesema kuwa mwaka uliopita ni moja…
Mchezaji wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior amefanikiwa kushinda tuzo ya Samba d’Or kwa mwaka 2017. Neymar alifanikio kushinda kwa kupata…
Wanamuziki wa Bongo Fleva, Juma Jux na Vanessa Mdee wameweka wazi hali ya uhusiano wao kwa mashabiki baada ya kurudiana ambapo wameonekana wakiwa pamoja nchini Kenya. Jux na Vanessa walikuwa…
Rais wa Iran, Hassan Rouhani amesema rais wa Marekani ni adui mkuu wa taifa hilo kuanzia utosini hadi kwenye unyayo. Ameyasema hayo akijibu ujumbe wa rais Trump alioutoa kupitia ukurasa…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguka mafanikio na matukio yaliyoteka mwaka 2017. Makonda amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram masaa machache kabla ya kuingia mwaka…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewatakia watanzania wote hjeri ya mwaka mpya 2018, huku akiwataka kuendelea kuchapa kazi Rais Magufuli ametoa ujumbe huo kwenye…