Mwanamuziki afungwa jela Misri kwa kuukashifu mto Nile
Mwanamuziki wa Misri, Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile. Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni…
Mwanamuziki wa Misri, Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile. Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni…
Klabu ya soka ya Real Madrid jana imefungwa 1-0 dhidi ya Espanyol kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania. Kabla ya mchezo huo Real Madrid ilikuwa ikishikilia rekodi ya kutofungwa…
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo amewataka Watanzania kujiepusha na vitendo vinavyoweza kutishia usalama wa nchi na kuharibu tunu ya amani iliyopo. Ameeleza kuwa hivi…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwafikisha mahakamani viongozi wote wa Vyama vya Ushirika vya Msingi (AMCOS) na wa taasisi za…
Serikali ya Botswana imesema kuwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ndiyo chanzo cha ukiukwaji wa haki za binadamu na kuzorota kwa hali ya usalama. Taarifa iliyotolewa…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wachama hicho wameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa Kituo Kikuu cha Polisi. Viongozi hao walikwenda kituoni hapo baada ya Mbowe kumaliza mkutano…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba amekonga nyoyo za mashabiki kwenye ukumbi wa Dar Live Mbagala jiijini Dar es Salaam kwenye show ya Mic Tata. Barnaba amekonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza…
Taasisi ya Mo Dewji imetangaza orodha ya wanafunzi 22 wa elimu ya juu waliopata ufadhili kutoka katika taasisi hiyo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kupitia mpango wa Mo Scholars. Wanafunzi…
Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali inatarajia kutoa chanjo kwa wasichana 614,734 wenye umri wa miaka 14 nchini ili kuwakinga na saratani ya shingo…
Wazri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike ili wasiharibiwe masomo yao. Alitoa agizo hilo jana wakati akizungumza kwa nyakati tofauti…
Mfalme wa Saudi Arabia, King Salman amefanya mabadiliko katika jeshi la nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuwafuta kazi Makamanda wa Vyeo vya juu jeshini akiwemo Mkuu wa majeshi. Taarifa…
Mkuu wa wilaya ya Pangani, Zainab Abdallah amefunguka na kudai anawaheshimu wanawake wenzake wanaojishughulisha kutafuta pesa kwa namna moja ama nyingine huku akiwataka wasiwape upenyo baadhi ya watu ambao wanataka…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba anatarajia kufunga ndoa siku ya Ijumaa na mwanamke wake wa siku nyingi kutoka Mombasa nchini Kenya. Msanii huyo ametajwa kutaka kufunga ndoa na mrembo huyo…
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, amewaonya baadhi ya watu wanaohamasishana kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu kufanya maandamano. Kamanda Sirro amesema kuwa kufanya hivyo bila kufuata utaratibu…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kudhibiti matukio ya watu kuuawa kikatili nchini. Akizungumza jana wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Diwani wa Namwawala wilayani Kilombero, Godfrey Luena aliyeuawa…
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza baraza lake jipya la mawaziri baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa nch hiyo. Waziri wa zamani wa fedha Nhlanhla Nene amerejeshwa tena katika…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joh Makini amefanya show ya kufa mtu kwenye Tamasha la Mic Tata lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam. Joh Makini ameonesha…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutokea pande za Mwanza, Edu Boy amesema kuwa Dogo Janja ameolewa na ndo maana anaona wenzake wadogo hivyo apambane na ndoa yake. Edu Boy amesema kinachomsumbua…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa kumtafuta popote alipo na kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya…
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nikki wa Pili, Roma Mkatoliki, Rama Dee na Izzo Bizness wameonesha kuguswa na hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela kwa mbunge wa Mbeya…
Mahakama Kuu imesimamisha uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i wa kumtangaza mwanasheria machachari Miguna Miguna kuwa ni mhamiaji aliyepigwa marufuku. Jaji Enoch Chacha Mwita Jumatatu kadhalika alisimamisha…
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amewaomba wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kusaidia kupatikana kwa amani ya kudumu nchini kwake. Kiongozi huyo wa Sudan Kusini…
Waendesha mashtaka wanaochambua tuhuma zinazomkabili rais wa zamani wa Jacob Zuma kuona uwezekano wa kuepuka kufikishwa mahakamani wamependekeza kuwa mashtaka yote dhidi yake yarudiwe. Gazeti la City Press limefahamishwa pasi…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya maarufu kama AY amefunga ndoa na harusi ya pili jijini Dar es Salaam zikiwa zimepita siku kadhaa tangu afunge ndoa na mpenzi wake wa…
Msanii wa muziki wa injili, Rose Muhando anatarajiwa kuwepo kwenye tamasha la Pasaka lililopangwa kufanyika Aprili Mosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza. Msanii huyo ambaye aliteka nyoyo za…
Kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu imeendelea tena leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Mpelelezi katika kesi…
Mshambuliaji wa klabu ya Paris St Germain, Neymar Junior amehumia na huenda akakosa mchezo wa klabu Bingwa barani Ulaya dhidi ya Real Madrid. Neymar aliteguka kifundo cha mguu wa kulia…
Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma amewataka majaji na mahakimu kumpunguzia maumivu mwananchi anayefuata haki mahakamani kwa kutimiza malengo waliyojiwekea, kuwapa ushauri pamoja na kusikiliza na kumaliza mashauri haraka. Akizungumza na…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Chege ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kaitaba aliomshirikisha Saida Kalori. Hii inakuwa wimbo wa kwanza kwa Chege kufanya na Saida Kalori…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu miezi mitano jela Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’. Sugu amehukumiwa pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga. Sugu…