Alichoandika Wema Sepetu kuhusu RC Makonda
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amefunguka na kudai Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameletwa duniani na Mungu kwa lengo la kusaidia watu nasio vinginevyo. Wema…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amefunguka na kudai Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameletwa duniani na Mungu kwa lengo la kusaidia watu nasio vinginevyo. Wema…
Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dk. Philip Mpango ameiomba Benki ya Dunia (WB), kuipa Tanzania mkopo wa Dola 150 milioni za Marekani ili kuchochea ukuaji wa uchumi na utoaji…
Muigizaji wa Bongo Movie, Vicent Kigosi maarufu kwa jina la Ray amewapa somo wanawake wasiopenda kunyonyesha watoto. Kupitia akaunti yake Instagram ameandika ‘Unamkuta mdada kajifungua mtoto eti anaogopa kumnyonyesha mtoto…
Video vixen Bongo, Tunda Sebastian ametoa ujumbe mzito kwa wapenzi wake wa zamani na kuwaambia kuwa watamkumbuka tu. Ingawa hajamtaja mwanaume yoyote kwa jina lakini Tunda alipata umaarufu zaidi hivi…
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Eric Omondi amewajia juu baadhi ya watu wanaoendelea kumkosa baada kuweka picha akiwa utupu katika mtandao wa kijamii licha ya kuomba radhi. Kupitia ukurasa wake Instagram…
Washirika wakubwa wa biashara wa Marekani wamekasirishwa na tangazo la Rais wa nchi hiyo Donald Trump juu ya mpango wa kutoza ushuru kwa bidhaa za chuma na aluminiam zinazoingizwa. Umoja…
Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wanaotumikia jela miezi mitano…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wastara Juma amesema kuwa baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa. Wastara amesema hayo baada ya kuwasili…
Mwanamuziki wa hip hop nchini, Stamina amefunguka na kusema kuwa amesikitishwa na Naibu Waziri wa Sanaa na Utamaduni kumfungia mwanamuziki mwenzake Roma asihusishe na muziki kwa miezi sita. Stamina amesema kuwa …
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji wa maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea. Waziri Mkuu…
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imezindua mfumo wa kusajili laini kwa kutumia alama za vidole. Mfumo huo ujulikanao kama Baiometria utawezesha kupata taarifa sahihi za wateja wa kampuni zote za simu…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mimi Mars amekanusha kutoka kimapenzi na mwanamuziki mwenzake Diamond Platnumz. Mimi Mars amefunguka hayo baada ya video iliyowahi kusambaa katika mitandao ikionyesha akicheza wimbo wa Diamond…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema jeshi lake limejaribisha silaha kadhaa mpya za nyuklia ikiwemo aina ya kombora ambalo halina ukomo wa masafa na linaweza kupenya ngome ya mfumo wowote…
Muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amefunguka na kusema kuwa hajawahi kuumia kuachana na mwanaume yoyote katika maisha yake. Wolper amesema kuwa alikuwa na kawaida ya kuwaanika wanaume aliokuwa akiingia…
Mmiliki wa Cash Money Records, Birdman amemmwagia sifa rapa Nicki Minaj na kusema kuwa ndiye rapa bora wa kike kwasasa licha ya watu kumesema vibaya. Birdman ametoa sifa hizo kwa…
Mwanamuziki wa hip hop nchini, Roma Mkatoliki amefungiwa na wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kutojihusisha na muziki kwa miezi sita kutokana na nyimbo zake kukosa maadili. Adhabu hiyo…
Mahakama ya mwanzo wilaya ya Kinondoni imemtaka mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shilole kulipa faini ya shilingi milioni 14 baada kupatikana na hatia ya utapeli. Mwanamuziki huyo amepatikana na hatia ya…
Waziri wa TAMISEMI, Suleman Jafo, amewapa mwezi mmoja makatibu tawala mikoa kuhakikisha wanapeleka taarifa za mabaraza mangapi ya walemavu yaliyoundwa kuanzia ngazi ya kata, wilaya na mkoa yatakayoshughulikia masuala yao…
Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga amewafahamisha mabalozi wa nchi tano ambazo ni wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwamba meli mbili zilizoonekana…
Waziri Mkuiu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imepeleka Sh1.92bilioni katika Halmashauri ya mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya. Waziri Mkuu ameeleza…
Mwanamuziki wa Singeli nchini, Snura amesema kuwa ameshangaza sana kuona wimbo wake ‘Nimevurugwa’ kufungiwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini ‘TCRA’ wakati ni wimbo wa muda mrefu. Snura amesema kuwa ameshangazwa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Belle9 ameshangazwa na BASATA kushindwa kulitambua jina lake na kudai kitendo hicho hakina tofauti na baba asiyejua majina ya watoto wake. Belle 9 amefunguka hayo baada…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Matonya amefunguka na kukanusha taarifa za kujihusisha na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya. Miaka kadhaa iliyopita zilisambaa taarifa kuwa mwanamuziki huyo amekamatwa na madawa…
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imezifungia nyimbo 13 za wasanii wa Bongo Fleva kutokana na kukosa maadili. Nyimbo mbili za Nay wa Mitego wanamuziki Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki, Jux…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi huku akiongeza wizara moja zaidi. Kwa mujibu wa taarifa Ikulu ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour amefunguka na kusema kuwa hajatetemesha na ujio wa mwanamuziki Maromboso kutoka WCB ambaye walikuwa wote Yamoto Band. Kauli hiyo ya mwanamuziki huyo inakuja kufuatia…
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amemjibu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyedai chama hicho kwa kushirikiana na Serikali…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shilole amesema kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita kwa sasa yeye na mumewe, Ashraf Uchebe wako kwenye harakati za kusaka mtoto. Shilole amesema…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutokea pande za Tip Top Connection, Madee amefunguka na kusema kuwa avutiwi na uvaaji wa msanii mwenzake Roma Mkatoliki. Madee amesema kuwa Roma anavaa kawaida sana…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo ametoa siku saba kwa halmashauri zote nchini, kukamilisha mipango ya utekelezaji wa miradi ya…