Avril akanusha kupata matatizo baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza
Baada ya staa wa muziki nchini Kenya, Avril Nyambura, kujifungua mtoto wa kwanza wiki iliyopita, taarifa zilisambaa kuwa mrembo huyo alipata tatizo wakati huo wa kujifungua kwa kawaida na hatimaye…