Dkt. Slaa afunguka sakata la sh. 1.5 trilioni
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt Wilbroad Slaa amesema kuwa mjadala wa kuonekana au kutoonekana kwa sh 1.5 trilioni lililoibuka baada ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt Wilbroad Slaa amesema kuwa mjadala wa kuonekana au kutoonekana kwa sh 1.5 trilioni lililoibuka baada ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles maarufu kwa Jina la usanii kama Nandy amefunguka na kuweka wazi kuwa anategemea Kuolewa hivi karibuni. Nandy amesema kuwa kuwa kuna mipango kabambe ambapo ataolewa…
Marekani itafungua ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe…
Wasanii wa muziki wa dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wamefunguka sbabu ya kushindwa kwenda nyumbani kwao Congo kwaajili ya shughuli za kimila. Wawili hao baada…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemteua mshindi wa taji la Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) kuwa balozi wa utalii wa Pori la Akiba Selous.…
Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu kama Lulu amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje. Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka sababu ya kushindwa kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘MAMA’ ya Aunt Ezekiel. Uzinduzi wa filamu hiyo fupi ya dakika 20 ilifanyika jana katika…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, amewataka makamishna wastaafu wa jeshi hilo, kuendelea kukabiliana na uhalifu wawapo uraiani kwa kuwa mapambano ya uhalifu hayana mipaka.…
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amejibu iwapo yupo tayari kufunga ndoa Diamond Platnumz mara baada ya muimbaji huyo kuweka wazi atafanya hivyo mwaka huu. Akizungumza katika uzinduzi wa Filamu ya Mama kutoka…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amesema utaratibu wa upimaji wa kifua kikuu na Ukimwi bar kwa bar sio wa lazima, ila watatumia ushawishi kuhakikisha…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa mapato yanayotokana na utalii yameongezela kutoka Dola za Marekani Bil. 1.7 mwaka 2012 hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 2.2…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amekutana na producer na audio engineer, Humberto Gatica ambaye ni mshindi wa tuzo 16 za Grammy na kufanya naye kazi. Vanessa amekutana na producer…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shilole amemjia juu msanii wa vichekesho kutoka Timamu Tv, Ebitoke na kusema sio mtu wa hadhi yake. Ebitoke alimuongelea Shilole kwa kudai hajui nyumimbo hata moja…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba ameachia video mpya ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mvumo wa Radi. Tazama hapa video hiyo kwa mara ya kwanza.
Muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amemvulia kofia aliyekuwa mpenzi wake msanii wa Bongo fleva kutoka WCB, Harmonize na kukubali bifu lao liishe. Wolper na Harmonize wamekuwa Kwenye vita ya…
Muigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya amesema tangu rafiki yake Agnes Gerald ‘Masogange’ atangulie mbele ya haki amekuwa akihofia kutokewa na mzuka wake. Uwoya ambaye alikuwa na ukaribu mkubwa na…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka na kuongelea uhusiano wake na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto huku akidai kuwa ni mdogo wake ila…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rosa Ree ameamua kuingia kwenye ngia biashara baada ya kufungua mini supermarket yake mpya aliyoipa jina la Rosa Ree Mini Supermarket. Rosa Ree amesema kuwa ameamua…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka na kusema kuwa anashangaa watu kujadili aina ya salam ya mkono aliyompa mwanamuziki mwenzake, Diamond Platnumz katika msiba wa Agnes Masogange. Alikiba amefunga hayo…
Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo hiyo baada ya mchezo wa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa serikali imetoa Shilingi Billion 250 kwaajili ya utekelezaji wa Miradi Mkakati ya kuziwezesha Halmashauri za jiji hilo kujiendesha zenyewe…
Serikali imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 6,180 katika sekta ya afya nchini na kuwataka wananchi wenye sifa stahiki kuomba nafasi hizo ili kuweza kutatua changamoto ya upungufu wa watumishi…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa muda unavyokwenda atataja orodha ya pili ya wanawake aliotembea nao Jacquline Wolper. Kupitia akaunti ya Instagram mwanamuziki huyo amesema kuwa kama…
Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyehisiwa au kuthibitishwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola hapa nchini na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari kubwa dhidi ya ugonjwa huo ambao umeripotiwa hivi…
Lugha ya Kiswahili kimeweka historia yakuwa lugha ya kwanza kutambuliwa na mtandao wa kijamii wa Twitter. Awali, Twitter ilikuwa ikiyatambua maneno ya Kiswahili kama maneno ya ki Indonesia katika swala…
Watu 32 wamepoteza maisha baada ya ukuta wa bwawa la maji kubomoka na kusababisha maji kuvamia makazi ya watu katika mji wa Solai nchini Kenya. Tukio hilo lililotokea Jumatano usiku,…
Wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy uitwao 'Ninogeshe' umeishusha wimbo wa Ommy Dimpoz ‘Yanje’ kwenye mtandao wa Youtube na kushika namba moja. Wimbo huo kwasasa unashika nafasi ya kwanza katika…
Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela leo. Sugu amesema hakuwa anajua kama anaachiwa mpaka pale alipofuatwa na polisi kuambiwa ajiandae, na…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Iran itakuwa katika wakati mgumu iwapo itaanza kutengeneza silaha za nyuklia kufuatia Marekani kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa 2015 uliokuwa unania ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amewachana wasanii wenzake na kusema wanatoa nyimbo mbaya na wasanii wengine wanaogopa kuwachana. Ommy Dimpoz amedai kuwa wasanii wengi wanatoa nyimbo mbaya na hawajui…