Barnaba adai kwasasa yupo single
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba amesema kuwa kwasasa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote endapo akiwa kwenye mahusiano watu wafahamu. Barnaba amefunguka hayo baada ya picha zake kuzagaa …
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba amesema kuwa kwasasa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote endapo akiwa kwenye mahusiano watu wafahamu. Barnaba amefunguka hayo baada ya picha zake kuzagaa …
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka na kusema kuwa licha ya umaarufu mkubwa alionao lakini ataendelea kuishi maisha ya kawaida ya kutojionyesha katika jamii. Alikiba amesema kuwa maisha anayoishi ndio…
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kuhusu taarifa zilizodai kuwa amepigwa na mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim ‘Sandra’. Hamisa alipata time ya kuzungumza na waandishi wa habari na kusema jambo…
Mwanamitindo Nikki Bella na mkali wa mchezo wa mieleka, John Cena, wamemaliza tofauti zao na kurudiana baada ya kudaiwa kuachana. Wawili hao ambao walitangaza kuwa wapo kwenye mipango ya kufunga…
Mwanamitindo maarufu nchini Marekani, Blac Chyna amethibitisha kuachana na mpenzi wake, YBN Almighty Jay baada ya kusema kuwa yupo singo kwa sasa. Blac mwenye umri wa miaka 30 alikuwa kwenye…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Rayvanny amesema hafanyi muziki kwa ajili ya kushindania tuzo au kwenda kimataifa bali anafanya kwa ajili ya mashabiki wake. Kauli hiyo ya Rayvanny imekuja…
Muigizaji wa Bongo Movie, Faiza Ally amesema kuwa ataongeza watoto wengine endapo akiwa tajiri mwenye kumiliki mali. Faiza amesema kuwa kwa sasa hali yakekiuchumi inamtosha kuwa na watoto wawili tu…
Muigizaji wa Bongo movie Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kuwa yupo tayari kwa aliyekuwa mpenzi wake, Ray kufunga ndoa na mzazi mwenzake Chuchu Hans. Johari amesema kuwa kwa upande hajisiki vibaya…
Kituo cha Televisheni cha Wasafi Tv kinachomilikiwa na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz jana kimetangaza ujio wa kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kipindi hiko kitakachoitwa Nyumba ya Imani…
Mama mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Bi. Sandra amefunguka sababu ya kumpa kipigo Hamisa Mobeto. Mama Diamond alisema hayo katika mahojiano maalum yaliyofanyika katika duka la bintiye,…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa anatarajia kuwa mfanyabiashara siku za usoni. Diamond amesema kuwa anajua hawezi kuimba kwa kipindi chote hivyo mipango yake kwa siku…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko amefunguka na kudai kuwa yeye na msanii mwenzake Lulu Diva ni washkaji tu na hawana mahusiano. Mavoko na Lulu Diva wanahusisha kuwa katika uhusiano…
Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobetto amewachana watu wote wasiopenda Mahusiano yake na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz. Hamisa na Diamond wamerudiana penzi lao rasmi na inaonekana wazi kabisa hivi…
Aliyekuwa mpenzi wa video vixen Bongo, Gigy Money, Mo J amefunguka na kusema kuwa ameshangazwa na kitendo cha Gigy Money kusema mtoto aliyezaa nae si wa kwake. Mo J amesema…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka na kusema kuwa anauwezo wa kutoa nyimbo kila siku lakini anahofia kufirisika kwakuwa muziki unatumia pesa nyingi. Kauli hiyo ya Kiba inakuja baada ya…
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli ametoa msaada wa vyakula vya aina mbalimbali kwa wafungwa wa gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Mama…
Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewataka vijana nchini kugombea nafasi mbalimabali za uongozi ikiwemo udiwani na ubunge ili kutatua tatizo la kukosa ajira kutokana…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mimi Mars amefunguka na kuwachana baadhi ya mashabiki wa Bongo Fleva waliombeza baada ya baada ya kupunguza mwili wake. Baadhi ya mashabiki wake hawakupendezwa na jambo…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itaendelea kusikiliza ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka Juni 8 huu katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa TBC, Tido Mhando. Wakili wa Takukuru,…
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), ameitaka serikali iiondoe bungeni Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya mwaka 2018/19, kwa sababu imejaa kasoro zinazotakiwa kurekebishwa kabla haijapitishwa. Amesema…
Mfanyabiashara Herbinder Sethi ameeleza kusikitishwa na hatua ya kumvua uenyekiti wa IPT huku akisema hautambui uongozi mpya uliowekwa madarakani. Uamuzi wa kumwondoa Sethi katika bodi ya wakurugenzi ambayo pia ilimvua…
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi, Maulid Makabila kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (D/DCI) Zanzibar, huku akifanya mabadiliko ya baadhi ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka ‘WCB’, Lava Lava amefunguka na kusema kuwa yeye si mtu wa kupenda wanawake kama walivyo wanamuziki wenzake. Lava Lava amesema kuwa kwa upande wake yeye…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amempongeza mwanamitindo wa kimataifa Bibi. Flaviana Matata kwa juhudi za kusaidia watoto wa kike kupata elimu kwa kuwawezesha vifaa muhimu…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inasimamia kwa karibu miundombinu ya elimu nchini, malezi na nidhamu ili kuhakikisha kunakuwa na usawa katika ngazi zote.…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wananchi wa mabondeni maeneo ya Kiburugwa na Kilungule wahame maeneo hayo kwani ni hatarishi. Makonda amesema hayo wakati alipofanya ziara…
Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amesema alishangazwa na kitendo cha kusikia imepigwa simu kutoka juu, na kueleza kwamba ni lazima yeye na Masonga wavae sare za jela Akizungumzia suala…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy ameingiza sokoni bidhaa zake za Sabuni na mafuta akishirikiana na kampuni ya Grace Products Ltd. Nandy amekuwa miongoni mwa mastaa wachache ambao wameamua kujikita katika biashara…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi amesema kwa sasa kila anapoandika wimbo au kutoka kutoa ni lazima awasiliana na Baraza la Sanaa Taifa (Basata). Snura amesema kuwa analazimika kufanya hivyo…
Muigizaji wa Bongo movie Hamisa Mobetto ameweka wazi kuwa endapo atazaa mtoto mwingine basi atazaa na mwanaume atakuwa amemuoa. Hamisa ambaye tayari ana watoto wawili ambao kila mmoja ana Baba…