Roma awaomba Basata kumpunguzia adhabu
Mwanamuzi wa hip hop, Roma Mkatoliki amelitaka Baraza la Sanaa nchini (BASATA) kumpunguzia adhabu ya kutojihusisha na muziki. Basata wamesema walimfungia msanii huyo baada ya kutakiwa na baraza hilo kubadili…
Mwanamuzi wa hip hop, Roma Mkatoliki amelitaka Baraza la Sanaa nchini (BASATA) kumpunguzia adhabu ya kutojihusisha na muziki. Basata wamesema walimfungia msanii huyo baada ya kutakiwa na baraza hilo kubadili…
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kamati yake ya maudhui inafuatilia mahojiano ya mwanamuziki huyo aliyoyafanya katika kituo hicho. Ofisa Mkuu Idara ya Utangazaji ya mamlaka hiyo, Andrew Kisaka amesema…
Lebo ya WCB ikiwa kwenye hatua za mwisho za ufunguzi wa studio yao mpya ya kisasa, uongozi wa lebo hiyo umetoa ofa kwa wasanii wao wenye kipaji cha utangazaji kujitokeza.…
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, IGP Mstaafu Ernest Mangu amemuahidi Rais Dkt. Magufuli kwamba atahakikisha anadumisha mahusiano mazuri baina ya Rwanda na Tanzania ili kuweza kuipeleka nchi katika maendeleo mazuri…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Diva anatarajia kuungana na Hamisa Mobetto katika uzinduzi wa Lipstick zake nchini Uingereza. Hamisa Mobetto anatarajia kuzindua rasmi lipstick zake zinazojulikana Kama “Charmed Cosmetic” nchini…
Mahakama Kuu imetoa amri kwa serikali kupeleka majibu ya maombi yaliyofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini Abdul Nondo kujibu kesi ya kutompeleka Mahakamani kwa zaidi ya…
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu hatimaye mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma amerejea kikosini kwaajili ya maandalizi ya kuivaa Singida United kwenye mchezo wa kombe la shirikisho…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny amemshauri bosi wake Diamond Platnumz kuhusu changamto anazokutana nazo kwenye kazi yake ya muziki. Muimbaji huyo ameeleza kuwa hakuna anayefanikiwa akakosa maadui na ndicho kinachotokea…
Idadi ya wanawake wanaomshtaki Rais wa Marekani Donald Trump mahakamani kwa madai ya kuwa na uhusiano nao kimapenzi inaendelea kuongezeka ambapo sasa wamefika wanawake watatu. Mtaalamu wa kujenga mwili na…
Utekelezaji wa agizo la ujenzi wa viwanda 100 kwa kila mkoa uliotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, umefikia…
Kesi inayomkabili video vixen Bongo, Agnes Masogange imeendelea tena leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo imesikilizwa leo majira ya asubuhi katika Mahakama hiyo…
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godfrey Mngereza amesema kuwa Diamond amefanya makosa kumjibu Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza. Mngereza amesema Diamond…
Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee, Walemavu na Watoto, Ummy Mwalimu amewapiga marufuku wamiliki wa shule kupokea wanafunzi ambao hawana vibali vyakudhibitisha kuwa wamepima ugonjwa wa kifua kikuu. Kauli hiyo ameitoa…
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amesafirishwa usiku wa kuamkia leo kwenda mkoani Iringa kwa ajili ya kujibu.…
Mmiliki wa Sharobalo Records ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Bob Junior anadaiwa kumpiga mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Sabrina. Sabrina maarufu kama Sabby Angel ambaye ni muigizaji…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed maarufu ‘Shilole’ amefunguka na kusema kuwa mume wake Uchebe amkatazi kukata viuno akiwa stejini. Shilole amesema hayo baada ya kusambaa kwa video yake ikimuonesha…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa amesikitishwa na matamshi ya msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz dhidi ya Naibu Waziri Juliana Shonza. Mwakyembe amesema kuwa…
Staa kutoka lebo ya WCB, Rajab Abdul maarufu ‘Harmonize’, amemtaja staa wa Marekani, Michael Stevenson ‘Tyga’ kuwa ni mmoja wa wasanii wakubwa anaofikiria kufanya naye kazi mwaka huu. Harmonize alisema…
Staa wa hip hop nchini Marekani, Rick Ross, amerejea kwa kishindo katika shughuli zake za kawaida baada ya juzi kufanya tamasha kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa Light uliopo…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Snura amewataka wachezaji wa Simba kuelekeza nguvu zao kwenye ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kutolewa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Afrika. Snura…
Aliyekuwa Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy anazuiliwa na polisi akihojiwa kuhusu tuhuma kwamba alipokea pesa za kufadhili kampeni zake kutoka kwa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi. Polisi…
Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps ameweka wazi kuwa kiungo wa Manchester United Paul Pogba, hana furaha ndani ya kikosi cha timu hiyo kutokana na kutokuwa chaguo…
Msanii wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, amefunguka na kuwatolea uvivu mabinti wa Bongo ambao hawajielewi. Mbasha amesema kuwa amesema kuwa wengi wao hawaolewi kwa sababu wamekuwa wakiwaza zaidi kuhusu…
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona hajatendewa haki. Shonza…
Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya (CHADEMA) Joseph Mbilinyi alimaarufu kama Sugu, Jongwe ametoa rambirambi ya laki moja kwenye msiba wa mama mzazi wa Diwani wa Kata ya Ilemi…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka na kukanusha kuwa na bifu na mwanamuziki mwenzake Alikiba kama inavyosambazwa katika mitandao ya kijamii. Diamond amesema kuwa kwa upande wake hana tatizo…
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano ameshinda ya mwanasoka bora wa Ureno zilizotolewa na shirikisho la soka la Ureno. Ronaldo, 33, ameshinda tuzo hiyo mwaka huu kwa mara ya tatu mfululizo…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa anataka kuweka adhabu kali ikiwemo adhabu ya kifo kwa wale watakaobaninika kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya. Hatua amesema ni kwa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja amewajia juu watu ambao bado wanaiponda ndoa yake na Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya. Kauli hiyo ya Dogo Janja imekuja kufuatia baadhi ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wiki moja kwa Mawaziri kufanyia kazi na changamoto na maoni yaliyotolewa na wafanyabiashara katika mkutano wa 11 wa…