Mahakama ya Kisutu waifuta kesi iliyofunguliwa na Hamisa Mobeto dhidi ya Diamond
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya madai ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na Hamisa Mobeto dhidi ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz baada ya wawili hao kupatana.…