New video: Papii Kocha – Waambie
Baada ya kukaa jela zaidi ya miaka 14, hatimaye mwanamuziki wa dansi nchini, Papii Kocha ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao 'Waambie'.
Baada ya kukaa jela zaidi ya miaka 14, hatimaye mwanamuziki wa dansi nchini, Papii Kocha ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao 'Waambie'.
Mwenyekiti Kamati ya muda ya uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema hata kama angelikuwa ni miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asingeweza kukubali kukitumikia cheo cha Humphrey Polepole…
Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama wamekwenda ofisi ya NEC kushinikiza wapewe viapo na vitambulisho vya mawakala wao, huku wakidai mawakala wa CCM wameshapewa. Msafara huo wa…
Balozi China nchini Tanzania, Wang Ke leo amezindua ujenzi wa ofisi ya walimu katika shule ya sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam. Pia Balozi huyo ameahidi kujenga ofisi nyingine…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Februari 21, 2018 itatoa hukumu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Video Queen Bongo, Agnes Gerald maarufu kama Masogange. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa…
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakilindi kura kwani hilo si jukumu lao.…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amejiuzulu wadhifa huo baada kuandika barua kwa chama chake cha Ethiopia People’s Demecratic Front akiomba kuachia ngazi. Desalegn amesema kuwa amejiuzulu ili kusaidia kusuluhisha…
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Venance Mabeyo amefunguka na kuweka wazi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameweka historia katika jeshi hilo toka kuanzishwa kwake kwa…
Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC, Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu. Bwana Zuma alikuwa chini ya shinikizo…
Klabu ya Simba leo itashuka dimbani dhidi ya Mwadui kwenye mechi ya ligi kuu soka Tanzania Bara katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Kikosi kamili cha Simba kitakuwa Aishi Manula…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maromboso amekunusha kushindana na Aslay kwenye muziki wake baada ya kuachia ngoma mfululizo. Kaul hiyo ya Aslay imekuja kufuatia baadhi ya watu kuhoji kuwa Marombosso kuachia…
Wakili binafsi wa muda mrefu wa Rais wa Marekani Donald Trump amekiri kumlipa nyota wa filamu za ngono dola 130,000, mwaka 2016. Hatua hiyo inajiri wakati vyombo vya habari vikisema…
Muigizaji wa Bongo Movie,Tausi Mdegela amefunguka na kudai kuwa anapenda mwanaume mrefu na siyo mfupi kama alivyo yeye. Tausi amesema kuwa urefu wa muimbaji wa taarabu, Prince Amigo ndio kitu…
Mzazi mwenza na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na mwanamuziki huyo. Zari amefunguka hayo kupitia akaunti yake ya…
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini. Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa chama cha MDC, Tsvangirai mwenye umri wa 65, na aliyewahi kushika…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu urais wa nchi hiyo baada ya chama chake cha ANC kuanzisha vuguvugu la kumng’oa madarakani. Zuma amesema asingependa damu imwagike na chama(ANC)…
Rais mstaafu Benjamin Mkapa amewataka wadau mbalimbali na wananchi kuendelea kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huo nchini ambapo zaidi ya sh.milioni…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rachel amefunguka kuhusu sakata la kwenda nchi za Uarabuni na kukutwa na mabalaa ikiwemo kutumia madawa ya kulevya na kutelekezwa huko na mwanaume aliyekwenda naye. Rachel…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).…
Mwanamitindo wa Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka sababu inayompelekea asisheherekee siku ya Valentine's Day leo. Hamisa amekiri kuwa hawezi kusheherekea siku hiyo kama watu wengine kwasababu inamkumbusha machungu mengi kwasababu siku…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Baby Madaha amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hakuna kitu kilichowahi kumuumiza kama skendo ya kutumia dawa za kulevya. Baby Madaha ambaye pia ni muigizaji…
Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema mchezo wa leo ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya timu yake na PSG sio ushindani wa Ronaldo na Neymar bali ni mchezo wa…
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu huenda akashtakiwa na Polisi nchini humo kwa mashtaka ya rushwa. Polisi wamesema kuwa wana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani kiongozi huyo kwa rushwa, ufisadi…
Rais Mstaafu Kikwete amesema umefika wakati busara kutumika kupunguza changamoto za wakimbizi miongoni mwa nchi za Afrika ikiwa siku chache zimepita tangu Tanzania itangaze msimamo wa kutoendelea kuwapa nafasi ya…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Linah amefunguka suala la kubadili dini iwapo atatakiwa kufunga ndoa na baba mtoto wake maarufu kwa jina la mchomvu ambaye ni muislamu. Wawili hao ambao wako…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa, Tamisemi, Seleman Jafo, amegoma kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Itiso wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mpango Mkakati wa Afya Moja na Dawati la Kuratibu Afya Moja nchini ni muhimu katika kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa…
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia maadili kwa kuandika habari zenye ukweli na uhakika kwa manufaa ya Taifa na Watanzania…
Kiungo wa kati wa klabu ya Hull City nchini Uingereza, Ryan Mason amelazimika kustaafu akiwa na umri wa miaka 26 kufuatia jeraha la fuvu la kichwa alilopata katika mechi dhidi…
Shirikisho la Soka nchini, TFF limemfungia kutocheza mechi tano na faini ya shilingi milioni moja beki wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kwa kosa la kumpiga shabiki. Msemaji wa shirikisho hilo,…