Waziri Ummy aagiza wagonjwa wa Muhimbili kuhamishiwa Mloganzila
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza wagonjwa wasiotakiwa kufanyiwa upasuaji waliopo hospitali ya taifa Muhimbili kuhamishiwa hospitali ya Mloganzila. Waziri Ummy ametoa agizo…