Ronaldinho atundika ‘daruga’ rasmi
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya Psg, Barcelona na Ac Milan Ronadinho Gaucho amestaafu soka. Licha ya Ronadinho kutocheza soka la kiushindani toka mwaka…
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya Psg, Barcelona na Ac Milan Ronadinho Gaucho amestaafu soka. Licha ya Ronadinho kutocheza soka la kiushindani toka mwaka…
Mwanamitindo maarufu nchini, Jokate Mwegelo amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Jokate kuwa anachofanya sasa hivi ndani ya chama…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata silaha mbalimbali zikiwemo bunduki kubwa, bastola na vifaa vya uhalifu. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa amesema…
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma leo limemzuia Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kufanya mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Mwanga Community Center, mkoani humo. Taarifa iliyotolewa na OCD inasema…
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya…
Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang inaelezwa kuwa amekubali kuelekea Arsenal katika dirisha dogo la usajili. Mustakabali wa Aubameyang yamekuwa hayaeleweki kutokana na matatizo ya kinidhamu kuzidi kuongezeka…
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo amefika katika mahakama kuu Kanda ya Mbeya akituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi. Mwingine aliyefikishwa mahakani hapo ni Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wasijihusishe na vitendo vya wizi, ufisadi kwani Serikali haitosubiri kuwaundia tume za kuwachunguza bali itawashughulikia…
Serikali imeridhia hatua zilizochukuliwa na uongozi wa kampuni ya IPP Media kumuomba radhi Rais John Magufuli na kulifungia gazeti la Nipashe Jumapili kwa muda wa miezi mitatu kutokana na kuchapisha…
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Vincent Mashinji amesema kuwa yeye yuko tofauti na makatibu wengine wa vyama. Ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati akifanya mahojiano…
Meneja wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Babu Tale amemshauri mwanamuziki Ruby kutambua tatizo lake ili kurudisha heshima yake. Kauli hiyo ya Babu Tale imekuja kufuatia ukimya wa mwanamuziki…
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa amefungukiwa mechi tatu na kulipa faini ya Tsh. 500,000 kutokana na kosa la kumpiga mchezaji wa Tanzania Prisons kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amefunguka kwa mara ya kwanza sababu ya kukutana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moni Centrozone amesema kuwa yeye anashindana na msanii yeyote katika muziki na sio Roma na Stamina kama inavyodaiwa. Kauli ya Mone imekuja mara baada ya yeye…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Pinki amefunguka na kukiri kumlazimisha msanii mwenzake Chemical watengeneze kiki kwa ajili ya wimbo wao mpya. Wasanii hao wawili walishika headlines kwenye mitandao ya kijamii baada…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu kufuatia vifo vya watu…
Korea Kaskazini na Kusini wameanza mazungumzo kuhusu mpango wa kutuma timu kwa mashinndano ya msimu wa baridi yanayofanyika mwezi ujao nchini Korea Kusini. Korea Kaskazini ilikubali wiki iliyopita kutuma ujumbe…
Ujenzi wa barabara ya njia sita kuanzia Kimara hadi Kiluvya, unatarajia kuanza mwezi ujao pindi mkandarasi atakapopatikana. Nyumba takribani 2,000 zilizokuwa zimejengwa ndani ya mita 121.5 ya Barabara ya Morogoro…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu amekanusha tetesi za kutoka kimapenzi na mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Mohombi. Wema amesema kuwa habari hizo si za kweli tena ila watu wameamua…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Juma Jux amejitolea kumsomesha mtoto wa Shilole kwa mwaka mmoja ikiwa ni zawadi yake katika sherehe ya harusi ya Shilole na Uchebe. Jux amesema kwamba anafahamu…
Klabu ya Arsenal wako tayari kumsaini kiungo wa kati wa Manchester United, Henrikh Mkhitaryan kama sehemu ya makubaliano ya kumsajili mshambuliaji Alexis Sanchez. Arsenal ilifanya mazungumzo na mshambuliaji wa Bordeaux…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Billnass amejibu kauli ya Nandy aliposema kuwa anatamani angekuwa mke wake, na kusema kwamba ni kitu ambacho hakiwezekani ingawa anaheshimu hisia zake. Bill Nass amesema kwa…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali na vituo vya Afya nchini kuhakikisha wagonjwa hawauziwi damu. Ummy amesema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni…
Chama cha Unity nchini Liberia kimemtimua Rais anayemaliza muda wake, Ellen Johnson Sirleaf, kwa tuhuma za kutomuunga mkono mgombea mwenza ili arithi kiti chake cha urais. Chama cha Unity kinamtuhumu…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF). Pia waziri mkuu amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu…
Kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi amewaambia mashabiki wa timu hiyo kuwa baada ya kutolewa kwenye kombe la Mapinduzi nguvu zote wamehamishia kwenye ligi kuu Tanzania Bara. Yanga iliondolewa na URA…
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini leo Jumapili, Januari 14 kwa ziara ya siku moja. Rais Kagame aliyepokewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege…
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema timu yake inashindwa kupata matokeo kwasababu imepoteza hali ya kujiamini uwanjani. ''Timu haijiamini tena, tumekosa uwezo huo uwanjani'', amesema Zidane kwenye mahojiano na…
Mwenyekiti Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe Spunda amefunguka na kusema hakuna tatizo Lowassa kukutana na Rais Magufuli lakini amedai kuwa ni lazima tujue watu hao walipokutana Ikulu…
Ubingwa wa Mapinduzi Cup 2018 ilioutwaa klabu ya Azam, unaifanya klabu hiyo ya Tanzania bara kuandika historia mpya katika mashindano hayo baada ya kuifunga URA kwa penati 4-3 kwenye mchezo…