Mugabe ampa onyo Trump kuhusu silaha za nyuklia
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump atambue kuwa hakuna nchi ambayo ina haki ya kumiliki silaha za nyuklia peke yake na kuzuia nchi nyingine kumiliki…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump atambue kuwa hakuna nchi ambayo ina haki ya kumiliki silaha za nyuklia peke yake na kuzuia nchi nyingine kumiliki…
Mastaa wa hip hop Marekani, P. Diddy na DJ Khaled wapo katika mazungumzo na Fox kwa ajili ya tv show mpya ya kusaka vipaji, “The Four,”. Vyanzo vya habari vinavyoaminika…
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group), Mohammed Dewji ametaja mambo mawili ambayo anayajutia kwa kutoyafanya na anahisi kuwa amechelewa kuyafanyia maamuzi. Dewji amesema kuwa kushindwa kuwekeza katika…
Mbunifu wa mavazi maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kuwa anapata wakati mgumu kumsimamia Wema Sepetu kutokana na tabia zake zisizobadilika. Martin Kadinda amesema kuwa licha ya Wema Sepetu kuwa mtu…
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi nchini humo kufuatia sakata la baadhi ya wabunge na wananchi nchini humo kupinga suala la ukomo wa urais. Dr.…
Michuano ya Klabu bingwa barani Ulaya leo inaendelea tena huku mechi inayosubiliwa kwa hamu ikiwa ni kati ya Real Madrid na Borussia Dortumund kwenye ambayo itakafanyika katika dimba la Sidney…
Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amefunguka kwa kuwachana baadhi ya watu wanaofuatilia maisha yake. Wolper ameamua kusema hayo kutokana na watu kumfuatilia maisha yake baada ya kupata mpenzi…
Nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump. Jamese amesema amemtuhumu rais…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema jeshi la polisi kwa kushirikiana na askari wa majini wanaendelea na uchunguzi dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea kutokea…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ben Pol amesema kuwa kitu pekee anachokiangalia na kumvutia kwa mwanamke ambaye ataweza kumzimikia na kuwa naye kimapenzi ni lazima awe anajiamini pindi wakiwa wanaongea au…
Mchekeshaji kutoka Timamu, Mama Ashura amesema kuwa hakuumizwa na maneno katika mitandao ya kijamii kutoka kwa mashabiki wa Alikiba baada ya kumkosoa msanii huyo kwa kukaa muda mrefu bila kutoa…
Bondia Floyd Mayweather amenunua nyumba mpya ya kifahari yenye thamani ya paundi milioni 18.9 (zaidi ya Sh bilioni 56) katika eneo la Beverly Hills. Jumba hili jipya alilonunua, lina vyumba…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema hajasitisha mashindano ya Miss Tanzania na tuzo za muziki nchini bali ametoa angalizo kwa waandaaji wa mashindano hayo kuwa…
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Alexandre Lacazette jana jumatatu usiku alifanikiwa kuifungia mabao 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion. Goli la kwanza alifunga katika dakika ya 20 kipindi cha kwanza…
Wananchi wa jimbo la Mtama mkoani Lindi wamemhoji mbunge wao, Nape Nnauye kuhusu ndege aina ya Bombardier, wakitaka kujua inawasaidiaje. Ndege mbili aina ya Bombardier Dash 8 Q400 zilinunuliwa na…
Chama cha upinzani nchini Kenya, NASA kimeitisha maandamano Jumanne nje ya makao makuu ya tume ya uchaguzi IEBC mjini Nairobi. Hatua hii ni ya kushinikiza kujiuzulu kwa baadhi ya maafisa…
Mmiliki wa klabu ya Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifa amemwambia mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay, Edinson Cavani ofa ya Euro milioni moja aridhie kumwachia Neymar Jr jukumu la upigaji penati ndani…
Msanii wa Bongo Fleva, Nikki wa Pili amesema kuwa maisha ambayo ameyapitia akiwa bado mdogo, ndio sababu inayomfanya azidi kufanya makubwa kwenye maisha yake. Nikki wa Pili amesema alipitia changamoto…
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Godwe amekabidhi ardhi yenye ukubwa wa hekari 282 katika kijiji cha Kitumbi kwa wasanii na wadau wengine wanaofanya kampeni ya UZALENDO KWANZA. Akizungumza wakati…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja amesema kuwa hakupendezwa na kauli ya Young Dee kumuita kifaranga. Kauli hiyo ya Dogo Janja imekuja kufuatia siku za hivi karibuni Young Dee kusema…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amerejea jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara yake mkoani Arusha. Alipowasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwl.…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameiagiza Hospitali ya Taifa Muhimbili kutotoa rufaa ya matibabu nje ya nchi ikiwa wana uwezo wa kutibu maradhi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepokea kiasi cha shilingi milioni 200 kutoka benki ya CRDB kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi za kisasa za Walimu jijini…
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amepiga marufuku mashindano ya Miss Tanzania na tuzo za muziki kutokana na ubabaishaji wa waandaaji wa mashindano ya tasnia hizo. Mwakyembe amesema…
Kundi la muziki maarufu kutoka nchini Nigeria P-Square limegawanyika tena baada ya kupatanisha hap awali. Kundi hilo lililofanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano ambalo linawaunganisha ndugu wawili Peter na…
Mfalme wa Singeli nchini, Msaga Suma amefunguka mafanikio na changamoto alizopata baada ya kuachia wimbo wake wa Mwanaume Mashine. Msaga Sumu amesema kuwa amepa muitikio mkubwa mtaani kutokana na ujumbe…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kwa siku mbili Jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 30…
Kampeni ya ukusanyaji wa damu salama inaanza leo ambayo itadumu kwa takribani siku tano mfululizo huku baadhi ya mikoa kadhaa ikitajwa kuendesha kwa kampeni hiyo katika maeneo mbali mbali ya…
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa ameachiwa huru jana usiku kwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara. Msigwa ameachiwa baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili Alex Kimbe pamoja…
Marekani imepitisha vikwazo vipya vya zuio la kuingia nchini humo huku Korea Kaskazini ikiingia kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake hawaruhusiwi kuingia katika taifa hilo. Tangu kuingia kwa rais…