Zitto Kabwe afunguka kuhusu muswada wa vyama vya siasa
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa serikali ya awamu ya tano inadhamira ya kuuwa vyama vya upinzani nchini…
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa serikali ya awamu ya tano inadhamira ya kuuwa vyama vya upinzani nchini…
Polisi nchini Kenya wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa muungano wa upinzani National Super Alliance waliokuwa wakiandamana katika miji mikubwa mitatu nchini humo. Muungano huo umekuwa ukifanya maandamano kushinikiza…
Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Mr Blue amefunguka na kusema kuwa yeye alianza muziki kwa kuiba 'verse' ya mtu kipindi alichokuwa mdogo. Mr Brue amesema kuwa wakati alivyoiba hizo verse…
Mwanamuziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego ameanzisha kampeni inayokwenda kwa jina la Nguvu ya Kitaa yenye dhamira ya kuwasaidia watu wenye hali za chini. Kampeni hiyo itaanza rasmi kesho…
Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Rais Jacob Zuma kupinga kufufuliwa kwa mashtaka ya ulaji rushwa dhidi yake. Zuma pamoja na maafisa wengine wakuu serikali walituhumiwa…
Rais wa Marekani, Donald Trump amelikosoa Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kwa madai kuwa lina ibagua Israel hivyo kuamua kujitoa. Wizara ya mambo ya…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameidhinisha mswada wa bajeti ndogo ambapo ametenga Kiasi cha shilling za Kenya 12 bilioni (Dola 120 milioni) za kutumiwa na Tume ya Uchagizi katika uchaguzi…
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inawashikilia watu wawili kwa kukutwa wakisafirisha dhahabu yenye uzito wa kilogramu 6.2 iliyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi 500.3 milioni isivyo halali. Mkurugenzi…
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda leo ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam ‘Central’ kama alivyotakiwa kamanda wa Kanda maalum ya Dar…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Lady Jaydee amesema kuwa alishukuru sana kwa kitendo cha Mwana FA kumpa ushirikiano kwenye kazi zake na kupost Instagram kumpa promo ya wimbo wake mpya.…
Mama Maria Nyerere amewaasa vijana kuzingatia utamaduni na michezo ili kuweka sawa akili zao. Amesema michezo hukutanisha watu wengi na kuwawezesha kubadilishana mawazo yenye kujenga katika maisha. Mama Maria amesema…
Mwanasoka wa zamani wa Liberia, George Opong Weah anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Liberia. Takwimu kutoka tume ya uchaguzio NEC zinaonyesha Weah yupo mbele kwa majimbo…
Kesi inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeendelea jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Mtuhumiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo peke yake akiwa kwenye gari maalum lenye bendera…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo ameweka wazi sababu ya yeye kukubali kuteuliwa kushika wadhifa huo, licha ya misimamo ambayo alikuwa nayo awali dhidi ya…
Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani, Mtukufu Aga Khan ameondoka nchini leo baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku mbili kwa mwaliko Rais John Magufuli. Kiongozi huyo ameagwa Uwanja wa…
Mwanamuziki nyota wa Nigeria, David Adeleke 'Davido' anachunguzwa na Polisi nchini humo kufuatia kifo cha rafiki yake wa karibu anayeitwa kwa jina la Tagbo Umeike. Polisi katika mji wa Lagos…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Aslay amesema kuwa alikuwa na wasiwasi mkubwa kufanya kazi peke yake bila ya Meneja wake Mkubwa Fella. Aslay amesama kuwa kutokana na woga na wasiwasi huo…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano wake wa kiuchumi na kidiplomasia baina yake na Uganda. Waziri Mkuu ameyasema hayo…
Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limempa siku 3 tu Sheikh Issa Ponda, ili kujisalimisha na kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazomkabili, na iwapo hatafanya hivyo watamchukulia sheria stahiki. Tarifa…
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Hamphrey Polepole amesema mchakato wa Katiba ulikwama kwa sababu hakukuwa na uelewa wa pamoja nini wananchi wanataka jambo ambalo, tayari limeshaeleweka ndani ya chama…
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Tabora zimesababisha vifo vya watu watano katika maeneo tofauti tofauti wilayani Igunga mkoani humo.. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mtafungwa…
Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu. Kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang'i amesema pia kwamba wanaopanga maandamano wanafaa…
Kesi ya matumuzi ya madaya ya kulevya inayomkabili video queen wa Bongo, Agness Gerald maarufu kama Masogange imeendelea tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.…
Chama Cha Wananchi (CUF) kimetoa pongezi kwa Sheikh Ponda baada ya jana kuwataka Watanzania bila kujali itikadi zao na imani zao za dini kwa pamoja kushikamana kutetea na kulindwa kwa…
Takwimu kutoka Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa wasichana wanauwezekano mara mbili zaidi wa kukosa masomo katika maeneo ya mizozo. Katika baadhi ya nchi kama Syria, hakukuwa na takwimu za kubainisha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na ujumbe wa maseneta wa Baraza la Seneti la Marekani. Taarifa ya Ikulu ya jana Jumatano imesema maseneta…
Mkuu wa wilaya ya Chunya, Bi. Rehema Madusa ameingoza Kamati ya Ulinzi na Usalama kuteketeza nyumba zaidi ya 900 za wananchi ambao wamevunja sheria kwa kuvamia na kuishi ndani ya…
Rais wa Marekani, Donald Trump ameendeleza mgogoro wake na vituo vya runinga nchini humo akisema kuwa vimekuwa na upendeleo na kuonya kwamba atafutilia mbali leseni zao. Alikasirishwa na ripoti ya…
Polisi nchini Kenya wamerusha mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa muungano wa upinzani National Super Alliance ambao wamekuwa wakiandamana mjini Kisumu, magharibi mwa nchi hiyo. Maandamano ya leo jijini…
Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma, raia wa Zimbabwe anaweza kuikosa mechi dhidi ya Simba Oktoba 28. Hii inatokana na kuandamwa na majeraha mfululizo, hivyo umechukua uamuzi wa kumpumzisha kwa…