Wasanii watakaovunja maadili kukiona
Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amesema wizara imeanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli juu ya baadhi ya wasanii ambao wanadaiwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa…
Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amesema wizara imeanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli juu ya baadhi ya wasanii ambao wanadaiwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa…
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho analenga kumsajili kiungo wa kati wa Argentina Paulo Dybala, 24, katika dau la £60m kutoka Juventus. Wakati huohuo manchester United imeimarisha dau lake kwa…
Serikali ya Kenya imepokea mwaliko kutoka nchini Marekani kuhudhuria katika hafla ya kuwashukuru kwa kuendeleza urafiki itakayofanyika Januari 13, 2018. Mwaliko huo umekuja ikiwa ni baada ya Kenya kuwa miongoni…
Nyumba ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila imechomwa moto katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi, ambapo askari mmoja aliuwa. Tukio hilo limetokea Desemba 25, 2017, ambapo…
Mwanasheria mkuu wa chama upinzani Chadema, Tundu Lissu, ameweza kusimama kwa mara ya kwanza baada ya kushambuliwa. Tundu Lissu amekuwa akipokea matibabu Nairobi tangu alipopigwa risasi na watu wasiojulikana jijini…
Klabu ya Arsenal inazidi kukosa uvumilivu juu ya Alexis Sanchez na inaelezwa kuwa wapo tayari kupokea ofa yoyote isiyopungua paundi milioni 35. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile alitolewa ofa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewahimiza waumini wa kanisa la Roma Katoliki wasiwatupia mgongo mamilioni ya wahamiaji ambao wamefukuza kutoka makaazi yao wakati wa misa kabla ya Krismasi.…
Mtoto wa Diamond Patnumz, Nillan jana alisheherekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kufukisha umri wa mwaka mmoja. Sherehe yake imefanyika nyumbani kwa wazazi wake nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ruby amefunguka na kusema kuwa baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu anatarajia kurudi upya mwakani. Ruby ambaye ni zao la THT amesema kuwa amejipanga vya…
Nchi ya Tunisia imezuia ndege za Umoja wa Falme za Kiarabu za Emirates kutua katika ardhi yake baada ya wanawake wa nchi hiyo kuzuiwa kupanda ndege hizo. Hatua hiyo imekuja…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya. Rais ametoa salamu zake hizo…
Mwanamuziki wa Injili nchini, Rose Muhando ameamua kufunguka ya moyoni baada ya kupokea maoni mengi ya watu wakimponda kuhusu maamuzi yake ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi. Rose Muhando amesema…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amezindua kampeni za Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mdogo jimbo la Longido unaotarajiwa kufanyika Januari 13, 2018 na kusema kwamba wapinzani wameogopa kushiriki…
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amezindua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Arusha mjini katika eneo la Njiro Kontena. Akizungumza na wananchi ambao wamehudhuria shughuli ya uzinduzi wa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ametoa zawadi ya kiwanja kwa kila mchezaji wa Zanzibar Heroes na shilingi milioni tatu kwa kila mchezaji.…
Rais wa Marekani, Donald Trump amelipongeza baraza kuu la usalama la Umoja wa Mataifa kwa kuidhinisha vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini. Trump ameandika katika mtandao wake wa Twitter, kwamba…
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani ametoa siku kumi kwa jengo la Tanesco lililopo Ubungo libomolewe ili kupisha ujenzi wa barabara ya Morogoro. Waziri huyo pia amewataka watumishi wa Tanesco…
Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na Lionel Messi wa Barcelona leo wanatarajia kukutana kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Kwasasa nyota hao wana mabao…
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amefariki dunia nchini…
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania (IGP) Simoni Sirro, amewahakikishia Watanzania wote kuwa wameimarisha ulinzi na usalama katika kipindi hiki cha sikukuu. IGP Sirro amesema hayo Mkoani Lindi alipokuwa…
Muigizaji wa Bongo Movie, Gabo Zigamba ameibuka na kudai kuwa wasanii wenzake wa Bongo movie wameacha kazi uigizaji ndiyo mana Bongo Movie imeshuka. Mwaka huu watu wameshuhudia jinsi Bongo movie…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu na Jokae Mwegelo wameteuliwa kuwa wajumbe kwa mwaka huu katika wizara ya maliasili ili wawezi kuwa mabalozi katika swala la utunzaji wa mali ya…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema kuwa wanasiasa wanaohama chama hicho hawawezi kukifanya kufa. Lissu amesema kuwa viongozi mbalimbali kama Dkt. Wilbroad Slaa wameondoka lakini bado chama hicho kinaendelea…
Kiungo wa Tottenham, Victor Wanyama ameanza mazoezi baada ya kupona jeraha la goti lilikuwa inalimsubua. Wanyama hajaichezea Spurs tangu timu hiyo ifungwe 2-1 na Chelsea mnamo mwezi Agosti mwaka huu.…
Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud atakosa mechi ya leo pamoja na mechi kadhaa za wakati wa likizo kutokana na jeraha la nyuma ya goti. Francis Coquelin huenda huenda akashiriki katika…
Mfanyabiashara James Rugemalila ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa anahitaji kuonana na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) ili ampe ushahidi wa nani anayepaswa kukamatwa katika kesi hiyo. December 8,…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dudu Baya ameiomba Serikali kupitia BASATA kuwachukulia hatua wasanii wote ambao wameenda kinyume na maadali kwa mwaka 2017. Duba Baya amesema kuwa baadhi ya wasanii mwaka…
Majaji wa Ufaransa wamemaliza upelelezi juu ya shambulio la kombora ambalo lilisababisha kuanza kwa mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994. Ofisi ya mwendesha mashitaka sasa wataamua ikiwa waipeleke kesi…
Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa amethibitisha kwamba timu hiyo haitoongeza mchezaji mwingine kwa masaa yaliyobaki ya dirisha dogo la usajili baada ya kumsajili Yohana Mkomola pamoja na beki Festo Kayembe kutoka…
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amefanya ziara ya kwanza nje ya Taifa tangu aapishwe mwezi uliopita kwa kutembelea Afrika Kusini. Msemaji wa Rais, Bongani Ngqulunga amesema Mnangagwa jana Desemba 21,2017…