Ushahidi wa kesi ya Mdee kuanza kusikilizwa Disemba 7
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee. Wakili wa serikali, Leornad Challo amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa kuwa kesi…