New video: Matonya – Hakijaeleweka
Baada ya kuachia video ya Sugua Benchi hatimaye mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Matonya ameachia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'Hakijaeleweka' Itazame hapa kwa mara ya…
Baada ya kuachia video ya Sugua Benchi hatimaye mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Matonya ameachia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'Hakijaeleweka' Itazame hapa kwa mara ya…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni watu wote wanaoishi ndani ya visiwa hivyo. Dk Shein…
Mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Singeli, Snura ameachia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'Shindu' itazama hapa kwa mara ya kwanza.
Rais wa zamani wa Iran, Akbar Hashemi Rafsanjani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Rafsanjani alikuwa akimuunga mkono rais wa sasa Hassan…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Alikiba anatarajia kuanzisha lebo ya muziki itakayoitwa kwa jina la 'Kings Music' itakayohusika na kumiliki na kuwasimamia wasanii watakaokuwa chini ya lebo hiyo. Hayo yamesemwa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Tan Coal Energy inayochimba makaa ya mawe katika mgodi wa Ngaka itimize masharti ya mkataba iliouingia na…
Ikulu ya Marekani 'White House' imefanya sherehe ya kumuaga rais wa sasa wa Marekani, Barack Obama anayemaliza muda wake januari 20 mwaka huu baada ya kuwa madarakani kwa miaka nane…
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara amesema kuwa maafikiano yametimizwa ili kumaliza uhasama ndani ya jeshi la taifa hilo. Ouattara, amesema kuwa wanajeshi waliokuwa wakishinikiza kulipwa marupurupu yao, watalipwa huku…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Alikiba ameamua kuweka wazi ratiba ya ziara ya kimuziki kimataifa (Internationla Tour). Muimbaji huyo ambaye mwaka 2016 ulikuwa mzuri kwa upande wake baada ya kuchukua tuzo…
Rais mpya wa Ghana, Nana Akuffo-Addo jana ameapisha rasmi kuchukua wadhifa huo baada ya kushinda uchaguzi uliopita nchini humo. Maelfu ya wageni walialikwa kwenye sherehe katika Medani ya Uhuru mjini…
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi ambaye ni kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amekabidhi mifuko 100 ya saruji ambayo ni sawa na tani tano kwa Jeshi…
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney amefikia rekodi ya mabao ya Sir Bobby Charlton ambaye aliweka rekodi ya kufunga idadi kubwa zaidi ya mabao katika klabu ya Manchester United. Rooney …
Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Salma Jabu (Nisha) amesema kuwa mwaka huu atajikita zaidi kwenye kazi yake ya uigizaji kwa kuachia filamu baada ya kukaa kimya mwaka uliopita kutokana na…
Muigizaji wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la Vituko Shoo, Chrispine Lyogello ‘Masele Chapombe’ leo amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Specioza Malick. Ndoa hiyo imefungwa katika…
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney leo anatarajia kucheza mechi ya kombe la FA dhidi ya Reading raundi ya tatu ya Kombe hilo. Rooney amekosa mechi tatu za Ligi Kuu…
Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Mohemed Trans lililogonga lori na kupoteza mwelekeo katika mji wa Manyoni mkoani Singida.…
Rais mpya wa Ghana, Nana Akuffo-Addo anatarajiwa kuapishwa leo kushika wadhifa huo baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa taifa hilo lenye demokrasia bora zaidi barani Afrika, John Dramani Mahama kwenye…
Mkurugenzi wa lebo ya Milian Dollar Boys (MDB), Maxlian Rioba amesema kuwa kwasasa lebo hiyo haifanya kazi tena na Young Dee kwa madai kuwa rapa huyo hana nidhamu. Max Rioba…
Kampuni inayotayarisha michezo ya kompyuta ya Razer imezindua laptop mpya yenye skrini tatu kwenye maonyesho ya teknolojia mpya jijini Las Vegas, Marekani. Kampuni hiyo imesema laptop hiyo ambayo imeundwa kupitia…
Mwanamke tajiri zaidi barani Afrika Isabel dos Santos, mtoto wa rais wa Angola amejiongezea utajiri baada ya kununua hisa katika benki kubwa zaidi nchini humo. Bi Santos amechukua udhibiti wa…
Yanga na Azam leo zitakutana kwenye mchezo wa tatu wa Kundi A kwenye michuano ya Mapinduzi katika Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar. Timu hizo leo zinakutana mara 27 kwenye mashindano…
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake, imeahirishwa hadi Januari 20 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika. Wakili Mwandamizi wa…
Nchi ya Urusi imesema kuwa itaanza kupunguza wanajeshi wake nchini Syria na itaanza kwa kupunguza meli zake zenye uwezo wa kubeba ndege za kivita. Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi…
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamisha Mohammed Mpinga amesema kikosi hicho kitaanza kukamata magari yote ambayo yamewekwa taa zenye mwanga mkali (spotlights). Mpinga amesema wameshatoa maelekezo kwa askari…
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamealikwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya wa Ghana, Nana Akufo-Addo kwenye sherehe zitakazofanyika kesho Januari 7 mwaka huu. Viongozi waliopata…
Kingozi wa kundi la Yamoto Band, Temba amesema kuwa kundi hilo linatarajia kuachia nyimbo mbili kwa pamoja baada ya kukamilika kwa nimbo hizo. Temba ambaye ni mwanamuziki mkongwe amefunguka na…
Hali ya kushangaza nchini Uingereza barua zilizoandikwa kwa mkono na Princess Diana zimeuzwa kwenye mnada uliofanyika jana siku ya Alhamis nchini humo. Barua hizo sita zilitumwa kwa Cyril Dickman, aliyekuwa…
Madaktari nchini Kenya wamekataa nyongeza iliyopendekezwa na serikali katika juhudi za kujaribu kumaliza mgomo wa madaktari na wahudumu wa afya ambao umedumu kwa mwezi mmoja sasa. Rais Uhuru Kenyatta alikutana…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dayna Nyange amekuwa mtanzania pekee aliyechaguliwa kuwania tuzo za BAE Awards 2017zitakazofanyika nchini Nigeria. Dayna Nyange amechaguliwa katika vipengele viwili BEST AFRICAN ACT akichuana na Eddy…
Muigizaji mkongwe wa India, Om Puri amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 66 baada ya kupatwa mshtuko wa moyo nyumbani kwake Mumbai leo. Mkongwe huyo wa filamu nchini India…