Mzee Majuto: Siwezi kuacha kuigiza
Muigizaji mkongwe wa vichekesho nchini, Amri Athumani 'Mzee Majuto' amesema kuwa hawezi kuacha kuigiza kutokana na uigizaji upo kwenye damu kwa hiyo ataigiza mpaka atakapokufa. Mzee Majuto mwaka jana aliwahi…
Muigizaji mkongwe wa vichekesho nchini, Amri Athumani 'Mzee Majuto' amesema kuwa hawezi kuacha kuigiza kutokana na uigizaji upo kwenye damu kwa hiyo ataigiza mpaka atakapokufa. Mzee Majuto mwaka jana aliwahi…
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Frederick Sumaye wanatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa Viktoria na Serengeti. Kwa mujibu…
Klabu ya Manchester United imekubali kumuuza kiungo wake, Morgan Schneiderlin kwenda Everton kwa ada ya uhamisho itakayogharimu paundi milioni 22. Kiungo huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 27 alijiunga…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Nuh Mziwanda amekanusha tetesi zilizoenea katika mitandao ya kijamii kuwa yeye na mpenzi wake wa zamani Shilole walikuwa pamoja jijini Mwanza. Staa huyo amesema kuwa ni…
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amezindua kifaa kipya cha kugundua ugonjwa wa selimundu ambacho kinatoa majibu ndani ya dakika tano. Naibu…
Watu 12 wanahofiwa kufariki dunia baada ya mashua iliyokuwa safarini kutoka mji wa wa Tanga ikielekea visiwa vya Pemba kuzama Jumatatu usiku. Kamanda polisi eneo la kaskazini mashariki, Benedict Wakulyamba…
Baada ya kuwatimua makocha wake kutoka nchini Hispani hatimaye Azam FC imemtambulisha kocha mpya atakayeinoa klabu hiyo ambaye jina lake anaitwa, Aristica Cioaba kutoka nchini Romania. Kutokana na makubaliano ya…
Mwanamuziki nyota wa hip hop nchini Marekani, Dj Khaled amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 10 sawa na shilingi bilioni 20 za kitanzania. Nyumba hiyo ambayo ipo…
Wasanii wa maigizo na muziki nchini wamepata somo kuhusu masuala ya kodi kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TRA imeendelea na mpango mkakati wake wa kuhakikisha inatoa elimu ya kodi…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua mwanawe Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa mshauri mkuu wa rais kuhusu operesheni maalum. Mke wa Museveni, Janet Kataaha Museveni ni Waziri wa Elimu na…
Shirikisho la Soka Duniani Fifa limeongeza idadi ya timu kutoka 32 hadi 48 zitakazoshiriki kombe la duniani baada ya makubaliano yaliyofanyika mjini Zurich nchini Uswisi leo. Mpango huo licha ya…
Eneo la jengo la Billicanas lililokuwa likimilikiwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe linatarajiwa kujengwa maduka ya kisasa na shirika la Nyumba la Taifa (NHC) baada ya kulichukua jengo hilo.…
Mkali wa Aje, Alikiba baada ya kotoa ratiba ya ziara zake za kimuziki za Afrika Kusini kuanzia mwezi ujao huku Marekani ikiwa mwezi wa tatu, staa huyo sasa ametoa ratiba…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Msingi Chato alikosoma darasa la kwanza hadi la saba na kuzungumza na walimu…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amemteua mume wa mtoto, Jared Kushner kuwa mshauri mwandamizi wa Ikulu ya nchi hiyo. Kushner mwenye umri wa miaka 35 ambaye amemuoa mtoto mkubwa…
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia ya FIFA iliyotolewa jana mjini Zurich nchini Uswisi. Ronaldo…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeghairisha kesi inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambao wanadaiwa kumfanyia shambulio la kudhuru mwili katibu tawala wa mkoa wa Dar es…
Mwanamuziki nyota kutoka Nigeria, yemi Alade amechia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'Sugar n Spice'. Itazama hapa kwa mara ya kwanza
Waziri mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kuvunja serikali yake katika hatua ambayo ilitarajiwa kufuatia kuidhinishwa kwa katiba mpya na uchaguzi wa ubunge wa mwezi uliopita. Upinzani…
Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Haji Adam 'Baba Haji' amesema kuwa hakuwai kushiriki rushwa ya ngono licha ya vitendo hivyo kukthiri ndani ya tasnia ya filamu hapa nchini. Baba Haji…
Polisi nchini Ufaransa wamewakamata watu 16 kwa kuhusika na wizi wa kutumia nguvu waliomfanyia mwanamitindo Kim Kardashian mjini Paris mwezi Oktoba mwaka jana. Kim Kardashian aliporwa kwa nguvu na takriban…
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anatarajia kuongoza mazungumzo ya kutatua mgogoro uliopo nchini Gambia baada ya rais wake Yahya Jammeh kukataa kung'oka madarakani licha ya kushindwa kwenye uchaguzi mkuu. Rais…
Wanajeshi wa Ivory Coast wameondoka kwenye barabara za mji wa pili kwa ukubwa, Bouake ambako walianza kuasi Ijumaa iliyopita wakitaka kuboreshwa kwa mishahara yao. Hatua hiyo inafuatia tangazo la Rais…
Muigizaji wa maigizo ya vichekesho, Hemed Maliaga maarifu kwa jina la ‘Mkwere’ amempa ushuri wa kuishi na mke vizuri rafiki yake Crispine Lyogello maarufu kama ‘Masele Chapombe’ baada ya kufunga…
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametetea uamuzi wake wa kuchezesha kikosi cha umri mdogo zaidi katika mechi ya Kombe ya FA ambayo walitoka sare 0-0 na Plymouth. Klabu hiyo sasa…
Msanii wa vichekesho kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ameachia video yake aliyoigiza movie ya Gods Must Be Crazy iliyoigizwa na msanii Bush Man lakini yeye akaibadilisha na kuita Gods are…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa kimya chake kinamaana na siyo kama baadhi ya wanasiasa wanavyosema. Kauli hiyo ameitoa jana mjini Unguja, alipokuwa…
Klabu ya Arsenal imetambulisha ndege mpya ambayo itakuwa inaitumia kusafiria kwenda kwenye mechi zake za ugenini za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya. Ndege hiyo aina ya Emarates Airbus A380 ni…
Mkali wa hip hop kutokea pande za Mwanza, Young Killer ameachia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'Sinaga Swagga'. Itazame hapa video hiyo kwa mara ya kwanza.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto ameitaka serikali iboreshe sekta ya madini ili kuisaidia nchi kunufaika na madini yaliyopo nchini. Zitto ambaye ni kiongozi wa ACT - Wazalendo ametoa kauli…