RC Dodoma azitaka Halmashauri kuchangamkia fursa ya serikali kuhamia Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amezitaka halmashauri za mkoa huo kutumia vizuri fursa ya Serikali kuhamia hapo badala ya kuiachia manispaa pekee. Rugimbana amewaeleza viongozi katika wilaya ya…
Fella: Taarab haijafa ila mashabiki wanataka mziki mzuri
Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella amesema kuwa muziki wa taarabu haujakufa kama baadhi ya watu wanavyosema ila mashabiki wanataka muziki mzuri kutoka kwa wasanaii wa muziki huo. Said Fella…
Manchester City wamalizana na Jesus kutoka Palmeiras ya Brazil
Klabu ya Manchester City imeruhusiwa kumnunua winga wa Brazil wa umri wa miaka 19 Gabriel Jesus na sasa anaweza akacheza dhidi ya Tottenham Jumamosi. Jesus amehamia Manchester City akitokea klabu…
Makamu wa rais wa Gambia, Isatou Njie-Saidy ajiuzulu
Makamu wa rais nchini Gambia, Isatou Njie-Saidy amejiuzulu saa chache kabla ya muda wake wa kuongoza kumalizika. Waziri wa mazingiura na elimu ya juu pia alijiuzulu,ikiwa ni msururu wa mawazuri…
Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na waziri wa maendeleo nchini Denmark
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na waziri wa Maendeleo wa Denmark Martin Bille Herman ikulu jijini Dar es salaam. Katika…
Flora Mbasha kuachana na mfumo wa kuachia albam
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwaka huu utakuwa ni wa mwisho kwake kutoa albam na kwamba atakuwa anaachia single ili aweze kuwapatia mashabiki zake nyimbo nyingi mara…
Mzee Jangala awapa somo wasanii wa Bongo
Muigizaji mkongwe wa vichekesho, Mzee Jangala amesema kuwa apendezwi na baadhi ya wasanii wa kiume wanaovaa nguo zinazobana, kutoboa masikio na kuonesha maumbile yao ambapo ni kinyume na maadili. Mzee…
Chapecoense ya Brazil yaanza mazoezi kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu
Hatimaye klabu ya Chapecoense ya Brazil imeanza mazoezi ya kujiandaa kwa msimu mpya wa ligi kuu nchini humo utakayonza Januari 26 mwaka huu wakicheza na Joinville uwanja wa nyumbani. Klabu…
Waziri Nape avitaka vyombo vya habari kuwa chachu kuelekea uchumi wa kati
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amevitaka vyombo habari kuwa chachu ya mabadiliko katika kipindi hiki nchi inaelekea katika uchumi wa kati. Nape ameyasema hayo wakati wa…
Manchester United wakubali kumuuza Depay kwenda Lyon
Klabu ya Manchester United imekubali kumuuza winga wao Memphis Depay kwenda klabu ya Lyon kwa ada paundi milioni 16 huku dau likipanda hadi kufikia paundi milioni 21 kma Lyon watafuzu…
Kijana mrefu zaidi kupelekwa India kwa matibabu ya nyonga
Kijana Baraka Elias ambaye ni mrefu mwenye futi saba anayesumbuliwa na ugonjwa wa nyonga anatarajia kwenda kutibiwa nje baada ya jopo la madaktari kufikia uamuzi huo kutokana na ukosefu wa…
Alichokiandika Kajala baada ya video chafu inayodaiwa kumuhusu mwanae kusambaa mtandaoni
Baada ya kusambaa video katika mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo inasemekana kumuhusu Paula ikimuonesha akifanya mapenzi na mtu mzima, mama mzazi wa binti huyo ambaye ni muigizaji wa Bongo movie,…
Mama mzazi wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina atamani kumuona mwanae
Mama mzazi wa mtoto Zahara aliyechukuliwa na kulelewa na muigizaji nyota wa Marekani, Angelina Jolie amesema anataka kumuona na kuongea na mtoto wake baada ya miaka 12. Angelina Jolie aliamua…
Fat Joe ajiunga ‘Roc Nation’ ya Jay Z
Lebo ya Roc Nation ya mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Jay Z imemsainisha rapa mkongwe Fat Joe kwa ajili ya kusimamia kazi zake za kumuziki. Kwa mujibu wa Roc…
Mbunge wa Dodoma Mjini akabidhi vitanda kwa vituo vya Afya
Mbunge wa Dodoma Mjini, Athony Mavunde amekabidhi vitanda vya hospitali na vyandarua vyenye thamani ya shilingi 3,500,000 kwa zahanati na vituo vya Afya 20 katika jimbo la Dodoma Mjini. Mbunge…
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew ahukumiwa jela miezi nane
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehukumiwa na Mahakama ya Lindi kwenda jela miezi nane baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mkusanyiko bila ya kibali. Mathew ambaye…
Manchester United yaongoza kwa mapato duniani
Klabu ya Manchester United imeshika nafasi ya kwanza kwa kujiingizia kipato kikubwa msimu uliopita baada ya kujikusanyia Euro milioni 689 msimu wa 2015-2016. Manchester United imeipiku Real Madrid baada ya…
Kaimu Jaji Mkuu Ibrahimu Juma ameapishwa kushika wadhifa huo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemuapisha Jaji Ibrahimu Juma kuwa kaimu Jaji mkuu wa Tanzania. Profesa Ibrahimu anachukua nafasi ya Jaji Othuman Chande ambaye…
Uongozi wa Shirika la Posta kufanyiwa marekebisho
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa atabadilisha uongozi wa juu wa shirika la Posta nchini kutokana na kushindwa kuendeleza shirika hilo kwa kasi inayotakiwa. Mbarawa…
Picha: Kinana akutana na kufanya mazungumzo na balozi wa China Lu Young
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Dk Lu Young Ofisi ndogo ya Chama hicho maeneo ya Lumumba…
Kesi ya Tundu Lissu yapigwa kalenda hadi Februari 14
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeshindwa kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu. Hakimu Mkazi, Godfrey Mwambapa, mwendesha mashtaka wa…
Air India imezindua ndege yenye viti maalum kwa wanawake
Kampuni ya ndege ya Air India imezindua ndege itakayokuwa na viti vya wanawake pekee kwa lengo la kukabiliana na unyanyasaji wa kingono . Wanawake kadhaa akiwemo muhudumu mmoja wa ndege…
Baby Madaha awashauri wasanii wenzake waende shule
Mwanamuziki na muigizaji wa Bongo Movie, Baby Madaha amewataka mastaa wenzake kurudi shule kutokana na ugumu wa maisha pamoja na dunia kuendelea. Baby Madaha anayeunda Kundi la Scorpion Girls amesema…
TPA kuwachukulia hatua watumishi watakaohusika na michezo michafu bandarini
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itawachukulia hatua watumishi wa mamlaka hiyo wote ambayo wanajishughulisha na michezo michafu wakishirikiana na wafanyabiashara katika minada inayofanyika bandarini. Mkurugenzi Mkuu wa…
Ditto kuachia albam mwisho wa mwaka huu
Mkali wa wimbo 'Moyo Sukuma Damu' Lameck Ditto amesema anajipanga kurudi na mfumo wa kuachia albam ya nyimbo zake mwishoni mwa mwaka huu. Uamuzi huo wa kutoa albam unamfanya awe ameungana…
Comedian wa Nigeria, Jedi Ayo na mkewe wamesheherekea kumbu kumbu ya ndoa yao
Muigizaji wa vichekesho nchini Nigeria, Jedi Ayo na mke wake Olajumoke wamesheherekea kumbu kumbu ya mwaka mmoja ya ndoa yao. Wawili hao walifunga ndoa mwaka jana mwezi kama huu ambapo…
Filamu ya ‘Fuko la Pesa’ kuingia sokoni hivi karibuni
Mugizaji wa Bongo movie, Ahmed Bachu anatarajia kuingiza sokoni filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Fuko la Pesa' ambayo imeshirikisha wasanii mbali mbali wanaofanya vizuri katika tasnia ya uigizaji…
Waziri mkuu aziagiza wizara ya Elimu na TAMISEMI kuchunguza sababu ya mkoa wa Mtwara kufeli
Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne ambapo mkoa wa Mtwara umekuwa mkoa wa mwisho kwa matokeo hayo, Waziri Mkuu,…
Waziri Ummy amewasilisha muswada wa uhuru wa Baraza la Madaktari
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto , Ummy Mwalimu amewasilisha Muswada wa Sheria kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, unaolenga…