Trump kuyaenzi ya Obama nchini Marekani?
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akiongea neno na rais Mstaafu Barrack Obama mara baada ya kukabidhiana madaraka kwenye sherehe iliyofanyika katika Ikulu ya White House mjini Washington siku ya…
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akiongea neno na rais Mstaafu Barrack Obama mara baada ya kukabidhiana madaraka kwenye sherehe iliyofanyika katika Ikulu ya White House mjini Washington siku ya…
Aliyekuwa kiongozi wa Gambia, Yahya Jammeh ameondoka nchini humo kuelekea nchini Guinea baada ya kukubali kukabidhi madaraka kwa Adama Barrow aliyeshinda katika uchaguzi wa urais mwezi disemba mwaka jana. Jammeh…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mnamo June 26, 2016 ,…
Serikali imesema iko tayari kujifunza namna ambavyo China imefanikiwa katika kukuza uchumi wake, ili kutengeza mfumo utakaoleta maisha bora kwa Watanzania wote. Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu…
Mwanamuziki wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, Mboyo Moseka maarufu kwa jina la Mbilia Bel ameadhimisha miaka 40 toka aanze kuingia kwenye kazi ya muziki wa Bolingo nchini humo. Mbilia…
Jeshi la polisi nchini limewaka wafanyabiashara na wananchi wanaofanya manunuzi au kuuza bidhaa kwa njia za mtandao kuwa makini na matapeli wanaotumia mitandao kufanya uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza kutia saini maagizo ya rais baadhi yake yakiwa ni ya kubadili yale yalioafikiwa na mtangulizi wake Barak Obama. Muda mfupi baada ya kukagua gwaride…
Shamba la Kilimanjaro Veggies lililopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe limesitishwa kufanyika shughuli za kilimo kutokana na kuwa ndani ya chanzo cha maji ya…
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji ameshinda tuzo ya mtu aliyefanya vizuri katika Uongozi kwa Mwaka 2016 inayotolewa na Jarida la African Leadership. Dewji ameibuka na ushindi huo kwa kupata kura…
Mshambuliaji wa Manchester United, Memphis Depay amejiunga klabu ya Lyon kwa ada paundi milioni 16 huku dau likipanda hadi kufikia paundi milioni 21 kama Lyon watafuzu klabu bingwa Ulaya. Mshambuliaji…
Nahodha wa zamani wa Liverpool na Uingreza, Steven Gerrard amechaguliwa kuwa kocha wa timu ya vijana ya Liverpool baada ya kustaafu soka. Gerrard mwenye miaka 36 alianza kuchezea Liverpool mwaka…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaonya viongozi wote nchini ngazi ya mikoa na wilaya kuacha mara moja tabia ya kuwakamata wauguzi na wakunga…
Nchi ya Morocco imekuwa nchi ya kwanza Afrika kutumia treni yenye kasi zaidi baada ya kwasili kwa treni hiyo nchi humo tayari kwa kutumika. Treni hiyo ina uwezo wa kutembea kilometa…
Donald Trump ameapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani kwa kipindi cha miaka minne baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana nchini humo. Sherehe za kuapishwa rais huyo zimefanyika…
Rais wa Gambia, Yahya Jammeh amekubali kung'atuka na kuondoka nchini humo baada ya kushauriwa na viongozi wa Ukanda wa Magharibi. Adama Barrow ambaye ndiyo mshindi wa kiti cha urais nchini…
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini kuanzia tarehe 22 na 23 Januari mwaka huu. Rais Erdogan ambaye ataambatana na Mkewe, na kuongoza ujumbe…
Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa Idara ya Uhamiaji kuandaa semina za mafunzo ya elimu ya uraia kwa wahudumu ya hoteli na nyumba…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa kampeni wa uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Mjini Unguja…
Benjamin Samweli Sitta amethibitishwa kuwa meya wa Kinondoni na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Mahakama hiyo imetupilia mbali upande wa pili wa Ukawa waliofungua kesi…
Tottenham imenza kujenga uwanja mpya utakaotumiwa na klabu hiyo kuanzia mwaka 2018 utakapokamilika. Uwanja huo utakuwa unaingiza mashabiki 61,000 utakuwa ndio uwanja mkubwa zaidi wa katika jiji kuu la London…
Mwanamuziki mtata wa hip hop Bongo, Nay wa Mitego ameweataja wanamuziki watano wa hip hop anaowakuli zaidi na upenda kuwsikiliza kutokana na kazi zao. Nay wa Mitego amesema msanii wa…
Baada ya kimya cha muda mrefu hatimaye mwanamuziki wa nyimbo za Taarab nchini Isha Mashauzi ameachia video mpya ya wimbo wake 'Kismet' akiwa na kundi lake la Mashauzi Classic. Itazame…
Ratiba ya Serikali kuhamia Dodoma ipo pale pale kwa mawaziri, manaibu, makatibu wakuu wa wizara na manaibu. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,…
Mamia ya mashabiki wa klabu ya Shanghai Shenhua wamejitokeza katika uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea mshambuliaji mpya wa timu hiyo Carlos Tevez akitokea Bocca Junior ya Argentina. Mshambuliaji…
Senegal imekuwa timu ya kwanza kufuzu robo fainali ya michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Zimbabwe kwenye mechi iliyofanyika jana. Goli la kwanza…
Muuzaji wa madawa ya kulevya maarufu nchini Mexico, Joaquin "El Chapo" Guzman amehamishwa na kukabidhiwa kwa maafisa wa serikali nchini Marekani. Guzman ambaye huenda akafungwa jela maisha nchini Marekani amekuwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Abdallah Possi kuwa Balozi. Kituo cha kazi na tarehe ya kuapishwa kwa Dkt. Abdallah Possi itatangazwa baadaye.…
Mchezaji tetesi kutoka Serbia, Novak Djokovic amefungwa na mchezaji namba 117 duniani Denis Istomin raia wa Uzbektan katika michuano ya Australian Open inayoendelea nchini Australia. Mshindi huyo mara sita wa…