Rais Magufuli afurahishwa na ushindi wa CCM kwenye uchaguzi mdogo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema ushindi wa CCM wa ubunge na madiwani katika Uchaguzi Mdogo uliofanyika juzi nchini ni ishara ya ushindi wa chama…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema ushindi wa CCM wa ubunge na madiwani katika Uchaguzi Mdogo uliofanyika juzi nchini ni ishara ya ushindi wa chama…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kujiondoa katika mpango wa Ushirikiano wa kiuchumi wa nchi zinazounganishwa na bahari ya Pasifiki. Trump ameyaonya makampuni ya nchi hiyo yanayopeleka kazi nje ya…
Mchezaji wa klabu ya Hull City, Ryan Mason amefanyiwa upasuaji baada ya kuumia fuvu la kichwa kwenye mchezo dhidi ya chelsea hapo jana. Mason ambaye aligongana na Gary Cahill wakati…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Hamad Ali 'Madee' ametaja wasanii watano wa hip hop anaowakubali zaidi huku akimtaja Fid Q ndiyo bora zaidi kutokana na aina ya mistari yake kwenye nyimbo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Country Boy amesema kuwa nyimbo yake ya 'Hakuna matata' ambayo ameshirikiana na Bill Nas kuwa ndiyo 'kolabo' anayoikubali na kuilewa zaidi tangu ameanza kufanya muziki. Country Boy wimbo…
Tanzania na Uturuki leo zimetiliana saini mikataba tisa ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo leo baada ya kuwasili kwa Rais wa Uturuki kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini.…
Mshambuliaji wa Gabon na mwanasoka bora wa zamani wa Afrika, Pierre-Emerick Aubameyang anaamini kuwa kutolewa kwenye hatua ya makundi kwa wenyeji hao wa AFCON kumetokana na kukosa maandalizi ya kutosha…
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar, Juma Ali Juma (CCM) ameshinda uchaguzi huo kwa kura 4860, wakati mpinzani wake Abdulrazack wa CUF akipata kura 1234 pekee. Uchaguzi wa Ubunge…
Rais wa Marekani Donald Trump amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi hiyo kote duniani na wanaohudumu katika mashirika ya kimataifa. Mabalozi hao wametakiwa kuachia nafasi zao mara moja na kurudi…
Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa tahadhari kufuatia ripoti inayoonyesha kuwa huenda watoto wengi wanachukuliwa kujiunga na wapiganaji wa al-Shabab nchini Somalia. Pamoja na watoto hao kufundishwa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora, Angella Kairuki amezindua safari ya kwanza ya wizara hiyo kuelekea makao makuu ya nchi mkoani Dodoma.…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene amesema kuwa sababu zilisababisha mikoa saba kushindwa kutimiza utengenezaji wa madawati ni kucheleweshwa kwa…
Aliyekuwa mgombea urais kupitia Ukawa kwenye uchaguzi mkuu na mjumbe wa Kamati kuu Chadema, Edward Lowassa amesema njia ya kuingia Ikulu 2020 ni nyeupe katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huo…
Bibi wa aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama, Sarah Obama ataendelea kupewa ulinzi wa serikali licha ya kumalizika kwa utawala wa mjuu wake nchini Marekani. Nyumbani kwa Sarah Obama katika…
Kocha wa Leicester City, Claudio Ranieri amesema anataka kocha wa Chelsea, Antonio Conte ashinde kombe la Ligi kuu nchini Uingereza. Ranieri mwenye umri wa miaka 65 aliiongoza Leicester kushinda taji…
Baada ya kuteuliwa ubunge wa viti maalu na Rais Magufuli, Anne Kilango Malecela amesema uteuzi wake umetokana na uwezo na uzoefu alionao katika uongozi. Mbunge huyo mteule aliwahi kuwa Mkuu…
Mwenjeji wa kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) Gabon imeaga mashindano hayo kwenye hatua ya makundi baada ya jana kutoka 0-0 dhidi ya Cameroon katika raundi ya tatu ya michuano…
Watu zaidi ya 18 wamefariki dunia na wengine 50 wamejeruhiwa kutokana na kuibuka kimbunga kikali na hali mbaya ya hewa katika majimbo ya Georgia na Mississipi nchini Marekani. Magavana wa…
Nahodha wa klabu ya Azam, John Bocco amesema kuwa leo hatoshangilia kama akishinda goli kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Cosmopolitan kutokana na kutambua mchango wao wa kumtoa…
Mkali wa R&b nchini, Rama Dee ameonyesha hisia zake kwa kuridhishwa na uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kumuombea kwa Mungu ifikapo mwaka 2020 ashinde tena kwa awamu…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameanza harakati za kujenga kiwanda cha Tiles katika jimbo lake ambacho kinaweza kuja kutoa ajira kwa watu zaidi ya elfu sita nchini. Ridhiwan Kikwete amesema…
Mwanamuziki wa Bongo fleva na muigizaji nchini, Shilole amefunguka na kuwapa neno baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakilalamika juu ya hali ngumu ya maisha huku wengi wao wakiitupia lawama Serikali…
Mshauri maalumu wa Rais wa Gambia Adama Barrow amesema zaidi ya dola za Kimarekani milioni 11 zinaaminika kutoweka katika hazina ya serikali, kufuatia kuondoka madarakani Yahya Jammeh. Mia Ahmad Fatty…
Rais wa Uturuki, Recep Erdogan amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amemwandikia barua Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu ili achukue hatua za kulishughulikia sakata la fedha…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema serikali imelipa jumla ya Sh bilioni 29 kwa watumishi mbalimbali wa umma wakiwemo walimu, ikiwa ni sehemu ya madeni…
Watu 36 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya Treni ya abiria kuacha reli na kupinduka katika jimbo la Adhra Pradesh nchini India. Idadi ya vifo inaongezeka kutokana na majeruhi…
Waziri Mkuu wa Mauritius, Anerood Jugnauth amesema kuwa anaoandoka madarakani na kumkabidhi mwanawe Pavind madaraka. Waziri huyo mkuu mwenye umri wa miaka 82 alichukua wadhifa huyo toka mwaka 1982. Jugnauth…
Baada ya kuteuliwa kuwa Balozi, Dkt Abdalah Posi ambaye alikuwa mbunge wa kuteuliwa amemuandikia barua ya kujiuzuru nafasi hiyo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amepewa siku 14 na serikali awe amelipa kodi ya hoteli yake ya Aishi takribani milioni 13.5 vingine vyo hoteli hiyo itafungwa. Hoteli ya Aishi inayomilikiwa…