Southampton waibamiza Liverpool 1-0 na kutinga fainali kombe la ligi (EFL)
Southampton wamefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya kombe la ligi nchini England (EFL) baada ya kuifunga Liverpool 1-0 kwenye mechi ya mzunguko wa pili iliyofanyika jana usiku katika uwanja wa…
Marekani kuanza kujenga ukuta kuwatenganisha na Mexico
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema serikali yake itaanza mara moja kushughulikia ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico. Hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi yake kubwa aliyoiweka wakati…
Raia 90 wa Somalia na wawili wakenya watimuliwa Marekani
Takriban raia 90 wa Somalia na wawili wa Kenya wametimuliwa kutoka Marekani saa chache baada ya taarifa kuibuka kwamba Rais Donald Trump atakabiliana na watu wanaoishi nchini humo kinyume cha…
Askari wa Ecowas wagundua kemikali za sumu kwenye Ikulu ya Gambia
Askari wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) wamegundua kemikali ya sumu kali iliyokuwa imetegwa kwenye vyumba vya Ikulu ya Gambia. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na…
Kubenea afutiwa mashtaka ya uchochezi mahakama ya Kisutu
Mbunge wa Ubungo (Chadema) Said Kubenea ameondolewa mashataka ya uchochezi na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na upungufu katika hati ya mashtaka kwenye kesi hiyo. Hata hivyo, mara baada…
Serikali yasimamisha kupokea wakimbizi kutoka nchi za maziwa makuu
Serikali imetangaza kusimamisha kupokea wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kwa makundi, kutokana na kutokuwepo kwa sababu za kiusalama, zinazowafanya wakimbizi hao kukimbia nchi zao na kuomba hifadhi ya ukimbizi…
Roman Polanski ajitoa kwenye nafasi ya haji wa tuzo za Cesars
Muongozaji wa filamu Roman Polanski amejiondoa kwenye jopo la majaji wa tuzo za Cesars za nchini Ufaransa kufuatia mashabiki kuonyesha waziwazi kukerwa na kuchaguliwa kwake. Tangu kuchaguliwa kwake wiki iliyopita,…
La La Land yaweka historia Oscar, yatajwa vipengele 14
Movie ya La La Land kwa mara nyingine tena imefanikiwa kuandika historia baada ya kutajwa kuwania tuzo kwenye vipengele 14 vya tuzo za Oscars. Mastaa wa movie hiyo, Ryan Gosling…
Rais Magufuli amezindua mradi wa mabasi yaendayo kasi Dar (UDART)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo amezindua mradi wa mabasi yaendao haraka Dar es Salaam (UDART) kwenye hafla ya iliyofanyika Kariakoo, Gerezani. Rais Magufuli…
Furguson: Machester United chini ya Mourinho imeanza kuimarika
Aliyekuwa kocha wa Manchester United, Sir Alex Furguson amesema kuwa klabu hiyo sasa imeanza kuimarika chini ya kocha, Jose Mourinho ila bahati tu wamekosa lakini wangeweza kukabiliana vilivyo na Chelsea…
NEC yafafanua matokeo ya uchaguzi jimbo la Dimani
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima ametoa ufafanuzi juu ya matokeo ya uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Zanzibar uliofanyika Januari 22 mwaka huu. Kailima amesema…
Alichoongea Madee kuhusu Tip Top Connection
Staa wa wimbo 'Hela' Madee amesema kuwa kundi lao Tip Top Connection alijasambaratika kama inavyosemwa ila kila mtu anafanya kazi kimpango wake kutokana na soko la muziki lilivyo sasa. Kwasasa…
‘WikiHow’ yaomba radhi kwa kuwafanya wazungu Obama, Jay Z na Beyonce
Mtandao maarufu wa WikiHow umeaomba radhi na kukiri kuwa umefadhaishwa na kujiskia aibu baada ya kuweka picha ya rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama, Jay Z na Beyonce wakipnekana ‘wazungu’.…
Sabby Angel akanusha kutoka kimapenzi na Christian Bella
Muigizaji wa Bongo movie ambaye pia n mwanamuziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na msanii wa Muziki wa Dansi, Christian Bella kuwa hawezi…
Nani kuutambulisha mwaka 2017 wa WCB?
Umemis ‘ngoma mpya’ za WCB? Unataka collabo au unataka solo? Unataka ngoma mpya ya nani; Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Mavoko au Queen Darleen? Kwa mujibu wa staa wa kundi hilo,…
India kupima tena urefu wa kilele cha mlima Everest
Serikali ya India imetangaza nia ya kutuma wataalamu wake kufanya uchunguzi wa urefu mlima mrefu zaidi duniani, mlima Everest kwa mara ya pili ili kupima endapo urefu wake ulipungua. Mpango…
Msichana wa miaka saba amuandikia barua Donald Trump
Msichana wa miaka saba kutoka Aleppo ambaye kwasasa anaishi nchini Uturuki, Bana Alabed amemuandikia barua ya wazi Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akimtaka kuchukua hatua kuhusu watoto wa Syria.…
Donald Trump ampa mwaliko Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump ametoa mwaliko kwa waziri mkuu wa India Narendra Modi kutembelea nchini Marekani baada ya kufanya mazungumzo kwa njia ya simu. Ikulu ya Marekani imemuelezea…
Coutinho asaini mkataba mpya wa miaka mitano Liverpoo mpaka 2022
Mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho amesaini mkataba mpya wa miaka mitano utakaomuweka Anfield mpaka msimu mwaka 2022 ambapo atakuwa analipwa paundi 150,000 kwa wiki. Kutokana na mktaba mpya aliosaini mshambuliaji…
ZANU-PF wamjibu Julius Malema kuhusu ‘Babu Mugabe’
Uongozi wa juu wa chama cha ZANU-PF umepuuza maneno ya mwanasiasa kijana wa Adrika Kusini Julius Malema aliloyatoa kupitia mtandao wa Facebook kwa kusema anashukuru kwa msaaa mkubwa ambao ‘Babu…
Steve RnB alia na uongozi wake wa zamani
Staa wa RnB Bongo, Steve amefunguka kwa kusema kuwa hakupata mafanikio toka aanze kuimba kutokana na uongozi wake kushindwa kumsimamia vizuri. Steve RnB ambaye alitoka kumuziki kupitia wimbo wa 'Tabasamu'…
Mbunge wa Morogoro Mjini, Abood amekabidhi Sh milioni 48 kwa ajili ya ada kwa wanafunzi
Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood amekabidhi Sh milioni 48 kwa ajili ya kulipia ada wanafunzi wa elimu ya juu, shule za sekondari na shule za msingi waliopo ndani ya…
Yamoto Band kuanza ziara ya kimuziki Barani Ulaya
Baada ya kimya kirefu kundi la muziki wa Bongo fleva, Yamoto Band linatarajia kuanza ziara ya kimuziki katika Bara la Ulaya wakianzia nchini Sweden Januari 27 mwaka huu. Katika taarifa…
UN yaombwa kuharakisha kutuma majeshi ya usalama Sudani Kusini
Chombo kinachosimamia usalama nchini Sudani Kusini kimeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuharakisha kutuma wanajeshi wake wa kulinda amani ili kukabiliana na matukio ya mauaji na uvunjifu wa…
KIZA TANZANIA: Umeme umekatika nchi nzima
Maeneo yote yaliyounganishwa kwenye mfumo wa taifa wa kusambaza umeme Tanzania asubuhi yameathiriwa na kukatika kwa ghafla kwa umeme. Shirika la Umeme nchini Tanesco limesema tatizo hilo limesababishwa na hitilafu…
Man United kuongeza viti vya watazamaji walemavu Old Trafford
Klabu ya Manchester United imeweka tena historia nyingine kwenye soka la Uingereza baada ya kupitisha azimio la upanuzi wa eneo la kukaliwa na mashabiki walemavu ambapo zitaongezwa siti 300. Ili…
Chege: Sina bifu na Juma Nature
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Chege Chigunda amesema kuwa yeye hana bifu na mkali mwenzie Juma Nature kama inavyodhaniwa na mashabiki nchini. Chege ambaye aliongozwa na Nature wakiwa TMK Wanaume Family…
Chama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) kinataka mabasi kutumia tiketi za kielektroniki
Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimeiomba serikali kuhakikisha matumizi ya tiketi za elektroniki katika sekta ya usafirishaji nchini yanakuwa ya lazima. Ofisa Msimamizi wa chama hicho anayesimamia Mkoa wa…
Ivory Coast imeshindwa kutetea taji lake yatolewa Afcon
Timu ya taifa ya Ivory Coast imetolewa kwenye mashindao ya Mataifa ya Afrika yanayonedelea nchini Gabon baada ya kufungwa 1-0 na Morocco katika raundi ya tatu ya kombe hilo. Ivory…