Dame Vera Lynn aachia album akitimiza miaka 100
Staa wa muziki Dame Vera Lynn ameweka rekodi mpya ya muziki baada ya kuamua kusherehea umri wa miaka 100 kwa kuachia albamu mpya ya muziki. Lynn ambaye aliweka rekodi ya…
Staa wa muziki Dame Vera Lynn ameweka rekodi mpya ya muziki baada ya kuamua kusherehea umri wa miaka 100 kwa kuachia albamu mpya ya muziki. Lynn ambaye aliweka rekodi ya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais, Dkt. John Magufuli hajawahi kutangaza ama kutoa kauli ya kufutwa kwa vyama vya siasa nchini. Ametoa kauli hiyo leo…
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewalaumu viongozi wa nchi nyingine za Afrika waliopiga kura ya kupitisha azimio la kuirejesha nchi ya Morocco kwenye Umoja wa Afrika (AU). Rais Mugabe amesema…
Jina la Etienne Tshisekedi si jina geni kwa siasa za Jamhuri ya Kidemokrasi ya watu Kongo kutokana na kuleta upinzani mkubwa kwa viongozi waliotawala taifa hilo. Mfahamu vizuri mwanasiasa huyo…
Serikali imetoa onyo kali kwa gazeti la wiki la MwanaHALISI na kulitaka gazeti hilo, kuchapisha katika ukurasa wake wa mbele barua ya kuomba radhi baada ya kuchapisha taarifa iliyomhusisha Rais…
Mwanamke mmoja wa jimbo la Oregon nchini Marekani amenusurika baada ya chatu mtoto kuingia kwenye tundu la kuvalia hereni la sikio lake. Mwanamke huyo, Ashley Glawe amepost picha yake kwenye…
Staa wa Canada Drake, ameahidi kuwalipa mashabiki 20,000 waliojitokea kutazama shoo yake na Travis Scott kwenye jiji la London baada ya Scott kudondoka jukwaani na kushindwa kuendelea na onyesho. Scott…
Rais Adama Barrow, amemchagua ‘mfungwa’ Amadou Sanneh kuwa waziri wa fedha wa nchi hiyo. Sanneh ambaye alifungwa wakati wa utawala wa Yahya Jammeh ameachiwa huru na rais Barrow kisha kukabidhiwa…
Pikipiki 16 zimetolewa matairi baada ya kukaidi agizo la Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dk. John Pombe Magufuli la kukataza magali ya kawaida na piki piki kutotumia bara bara ya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema kuwa baadhi ya wizara zitatumia majengo ya chuo cha Kikuu cha Dodoma…
Mwanamuziki nyota wa taarab, Khadija Kopa amesema kuwa kwasasa mapato yake yatokanayo na muziki yamepungua kutokana na Serikali kuzuia matamasha ya muziki baada ya saa sita. Amesema hivi sasa yeye…
Mwanamitindo wa Tanzania, Daxx Cruz ametaja vigezo vya mtu anayestahili kuwa mwanamitindo na kutaja baadhi ya wanamitindo wa Tanzania wasiokuwa na vigezo. Daxx ambaye kwasasa shughuli zake anazifanyia nchini Afrika…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwamba yupo mbioni kurudi upya katika muziki wa ushindani kwa kuwa anaamini bado muziki wake una mashabiki wa kutosha. Ray C…
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amejiunga na klabu ya Sports Club Villa ya nchini Uganda. Mshambuliaji huyo aliyeanza maisha yake ya soka kwenye klabu ya Sports Club…
Vyuo vikuu nchini vimeagizwa kuacha mara moja kutoza ada kwa fedha za kigeni kwa wanafunzi ambao ni watanzania. Agizo hilo limetolewa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na…
Wapinzani nchini Kenya wamehairisha maandamano ya mtaani na badala yake wameamua kuweka mkazo katika kuwahamasisha wafuasi wao kujiandikisha katika daftari la kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Katika mkutano…
Mtandao wa facebook umeongeza faida zaidi ya dola bilioni tatu na nusu kutokana na ripoti ya robo ya kwanza ya mwaka 2016. Hisa zake zilipanda thamani kwa asilimia 2 baada…
Timu ya taifa ya Misri imefanikiwa kutinga fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kuifunga Burkina Faso kwa jumla ya penati 4-3. Katika dakika 90 timu hizo…
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Etienne Tshisekedi amefariki dunia mjini Brussels nchini Ubelgiji akiwa na umri wa miaka 84. Tshisekedi alikwenda mjini Brussels mwishoni mwa mwezi…
Waziri wa Afya wa eneo la Gauteng, nchini Afrika Kusini, Qedani Mahlangu, amejiuzuru kazi kufuatia ripoti ya vifo vya wagonjwa wa akili 94 vilivyotokea kwenye jimbo la Gauteng mwaka jana.…
Hatimaye mlinzi wa pembeni wa miamba ya soka ya Uingereza, Chelsea, Branislav Ivanovic amejiunga na miamba ya Urusi Zenit St Petersburg. Uhamisho huo uliokamilishwa mapema leo haujaweka wazi kiasi cha…
Staa wa filamu za Pirates of the Caribbean, Johnny Depp ameambiwa ajilaumu mwenye kwa matatizo ya kifedha yanayomkabili hivi sasa kwasababu alikuwa akiishi kifahari kwa bajeti ya $2m (TZS4.5bn) kwa…
Chama tawala nchini Zimbabwe cha Zanu-PF kimeanza kukusanya michango kwaajili ya kusherehea kutimiza miaka 93 kwa rais wa nchi hiyo na mwenyekiti wa chama hicho, Robert Mugabe. Mugabe anatarajia kutimiza…
Bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 serikali imetenga jumla ya Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 1,157 kwa shule za msingi na Sh bilioni 11.14…
Kupitia video yake aliyoiweka Instagram na kutangaza kuwa mwaka 2017 utakuwa na mambo makubwa zaidi, hatimaye Diamond Platnumz ameanza kuyaweka wazi mambo hayo. Unaikumbuka track yake aliyofanya na staa wa…
Kesi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph waliorudishwa nyumbani kwa kukosa sifa kutokana na vigezo vya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kufanyika Februari 15 mwaka huu. Mahakama…
Mchekeshaji, Idris Sultan ameteuliwa kuwa Balozi wa Global Peace Foundation, nchini Tanzania ambapo atawakilisha katika matawi 25 ya mikutano mbalimbali duniani. Mkurugenzi wa Global Peace Foundation, Martha Nghambi amesema wamemteua …
Mwanamuziki wa bongo fleva, Vanessa Mdee amesema kuwa siri ya yeye kuwa bora na kufanikiwa kwenye maisha yake ni kufanya kazi sana na kuheshimu ratiba yake. Vanessa amesema kuwa huwa…
Mkali wa hip hop Bongo, Joh Makini amesema kuwa yeye na kundi lake la Weusi hawashindani na msanii yoyote kwenye muziki nchini badala yake wanafanya kazi bora tu kwa mashabiki…
Wizara ya Maji na Umwagiliaji imebainisha kuwa iko kwenye mchakato wa kuondoa tozo ya huduma kwenye mita za maji kama ilivyofanyika kwenye huduma za umeme. Tayari wizara hiyo imeanza kufanya…