Zuma ametuma vikosi vya jeshi 440 kulinda usalama Bungeni
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameviagiza vikosi vya kijeshi vipatavyo 440 kulinda usalama katika majengo ya bunge wakati wa hotuba yake leo. Hotuba za hapo awali za Zuma, zilikumbwa…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameviagiza vikosi vya kijeshi vipatavyo 440 kulinda usalama katika majengo ya bunge wakati wa hotuba yake leo. Hotuba za hapo awali za Zuma, zilikumbwa…
Kiongozi wa chama kipya cha upinzani nchini Zimbabwe ilichoanzishwa na makamu wa zamani wa rais na aliyekuwa mshirika mkubwa a rais Mugabe, Joice Mujuru, amewafuta uanachama wanachama tisa wa juu…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ameachiwa kwa dhamana katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukidhi vigezo vya dhamana hiyo. Wema Sepetu leo amefikishwa…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameendelea kusota rumande kwa zaidi ya saa 48 bila kufikishwa mahakamani. Wakili wa mbunge huyo, Peter Kibatala ameamua kukimbilia Mahakama Kuu Kanda ya Dar…
Mahakama Kuu nchini Kenya imebatilisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kufunga kambi ya wakimbizi ya Daadab. Mahakama hiyo imesema kuwa waziri wa usalama wa ndani, Meja Jenerali mstaafu Joseph…
Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Drake ameongoza kwa mauzo ya nyimbo kuliko mwanamuziki yoyote duniani kwa mwaka 2016. Shirikisho la Kimataifa la Nyimbo limesema kuwa nyimbo za mwanamuziki huyo…
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amefika kituo kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam kusikiliza tuhuma zinazomkabili za kujihusisha na madawa ya kulevya. Manji ni miongoni mwa watu 65…
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho wa mabalozi sita watakaowakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi hao ambao hati zao zimepokelewa na…
Mashabiki wa hip hop nchini Marekani wamemwita The Game mbaguzi na baadhi ya baada ya kitendo cha kuwatimua wanawake weusi kutoka kwenye sherehe yake fupi baada fainali za Super Bowl. Taarifa hiyo…
Watu 500 wa familia moja nchini China wamepiga picha ya familia wakiwa wote pamoja na kuleta gumzo n mitandaoni. Picha hizo zilichukuliwa wakati wa kusherehekea mwaka mpya nchini humo ambao…
Nyimbo mpya ya Diamond Platnumz aliyomshirikisha Ne-Yo imefikisha views Milioni 1 ndani ya siku tano. Kutokana na rekodi hiyo Diamond Platnumz amekuwa msanii wa pili Tanzania kwenye mtandao wa VEVO…
Aliyekuwa mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan amesema kuwa tuhuma kwamba anahusika na biashara ya dawa za kulevya zilianza toka mwaka 2013. Azzan amesema hayo baada ya kutajwa katika orodha ya…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametakiwa kufika mbele ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai ya…
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amesema kuwa yeye ni mmoja kati ya watu ambao wamewahi kutuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Mzee…
Wabunge nchini Uingereza wamekubali serikali ya nchi hiyo kuanza mjadala, kuzungumzia, kujitoa katika Umoja wa Ulaya. Muswada huo umeidhinishwa kwa kupigiwa kura na Wabunge 494, huku wengine 122 wakukataa kuupigia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amesitikishwa na gharama kubwa ya ujenzi wa jengo jipya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu…
Waziri mkuu wa zamani wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo amechaguliwa kuwa rais mpya wa Somalia baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa nchi hiyo Hassan Sheikh Mohamed kwenye uchaguzi uliofanyika jana.…
Staa wa filamu za Battlestar Galactica, Richard Hatch amefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa ya kongosho akiwa na miaka 71. Staa huyo ambaye ndiye staa pekee aliyeshiriki kwenye filamu mbili…
Mwanasiasa na kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya fedha na kuhukumiwa kutoshiriki siasa kwa miaka mitano. Hukumu hiyo inamfanya mwanasaisa huyo…
Waziri wa fedha wa Qatar, Ali al-Emadi amesema kuwa nchi hiyo itatumia karibu dola milioni 500 kwa wiki kwa miradi mikubwa wakati inajiandaa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2022.…
Mkimbiaji wa Ethiopia, Genzebe Dibaba amevunja rekodi ya dunia yam bio za mita 2,000 kwa wanawake baada ya kushinda kwenye mashindano ya mbio za ndani ya Miting International de Catalunya.…
Jumla ya watu 116 raia wa Nigeria wameuawa nchini Afrika Kusini kwa njia ya kiholela kwa muda wa miaka miwili iliyopita, kwa mjibu wa gazeti la Daily Trust lililomnukuu afisa…
Wakili wa Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Sheck Mfinanga amewasilisha notisi ya mdomo kwa nia ya kukata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kupinga uamuzi uliotolewa…
Kwakuwa tayari hatma ya mastaa wengine wa Bongo imeshakuwa hadharani hususani baada ya kupewa dhamana na kuachiwa kwa sharti la kuripoti polisi kwa miaka mitatu, hatma ya Wema Sepetu bado…
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa akijafurahi jinsi mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alivyomtaja mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwenye orodha ya watuhumiwa…
Kikosi maalum cha jeshi la Ivory Coast ambacho kinaripoti moja kwa moja kwa rais wa nchi hiyo kilichopo kwenye mji wa Adiake uliopo kusini – mashariki mwa nchi hiyo imeanzisha…
Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez ameweka wazi nia ya kukatia rufaa kadi nyekundu aliyoonyeshwa kwenye mechi ya nusu fainali dhidi ya Atletico Madrid. Suarez aliyefunga bao muhimu lililoisaidia Barcelona kutoka…
Kesi iliyowasilishwa kwenye mahakama ya kikatiba nchini Zimbabwe na kiongozi wa maandamano Promise Mkwananzi, ya kupinga utawala wa Rais Robert Mugabe imetupiliwa mbali. Kundi la Tajamuka lilitaka kuonyesha kuwa raia…
Imebainika kuwa wamiliki wa klabu ya Liverpool ya Uingereza na uongozi wa timu hiyo ulijaribu kuwasiliana na tajiri wa Marekani, Bill Gates ili kumuuzia timu hiyo. Maelezo hayo yamekuja kuwekwa…
Kamanda wa polisi eneo la Laikipia nchini Kenya, Mbelengo Mohare amepigwa risasi wakati wa mapigano na wafugaji nchini humo. Kamanda huyo amesafirishwa hadi mji mkuu Nairobi, kwa matibabu maalum kutokana…