Raia 58 wa Tanzania wamefukuzwa nchini Msumbiji
Raia 58 wa Tanzania waliokuwa wanaishi nchini Msumbiji wamefukuzwa nchini humo na kurudishwa Tanzania huku wakidai kunyang’anywa mali zao, vitambulisho pamoja na hati za kusafiria na askari wa Msumbuji pasipo…