Masogange aendelea kusota rumande
Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald 'Masogange' ameendelea kusota rumande huku jalada la kesi yake likiwa mikononi mwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Masogange mwenye umri wa miaka 25 alikamatwa…
Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald 'Masogange' ameendelea kusota rumande huku jalada la kesi yake likiwa mikononi mwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Masogange mwenye umri wa miaka 25 alikamatwa…
Manchester City imeanza vizuri hatua ya 16 bora baada ya kushinda 5-3 dhidi ya Monaco kwenye mechi ya klabu bingwa barani Ulaya iliyofanyika katika uwanja wa Etihad jana. Manchester City…
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Donald Ngoma hatokuwepo kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba kutokana na kuwa majeruhi. Ngoma amesema haweza kucheza mchezo huo wa watani…
Ni mastaa wangapi wa Bongo ambao wana vipaji zaidi ya kuimba au kuigiza movie? Ni kweli kuwa Mr. II a.k.a Sugu kwa sasa ni mwanasiasa anayeelekea kwenye ukongwe na ni…
Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar na klabu yake watasimama kizimbani kujibu mashtaka ya uhamisho wa mchezaji huyo, kutoka klabu ya Santos, baada ya kushindwa rufaa. Kesi hiyo inaihusu kampuni ya uwekezaji…
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kurekebisha hati ya mashtaka na kumwingiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, katika kesi yake ya Mkuu wa Mkoa…
Kesi inayomkabili Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Kampuni ya Jamii Forum Media Limited, Maxence Melo (40) upelelezi wake umekamilika. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 13 mwaka huu, baada ya upande wa…
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ametoa siku 14 kwa uongozi wa soko la Magomeni kuhakikisha wanaondoa baa na ghala vilivyopo katikati ya soko hilo. Akizungumza katika ziara yake…
Wanafunzi watano wameuawa na wenginge 30 wamejeruhiwa nchini Guinea wakati vikosi vya usalama vilipopambana nao walipokuwa wanaandamana wakitaka mgomo wa walimu kumalizika. Wanafunzi walijitokeza kwa wingi na kwa hasira wakaanza…
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amewataka wachezaji wake kucheza kwa nidhamu katika hatua ya timu 16 bora kwenye ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Monaco leo. Gurdiola ameshinda taji…
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba amesema kuwa kuwa anaunga mkono suala la watuhumiwa wa madawa ya kulevya. Lipumba amesema kuwa anaisapoti serikali kuhusu suala la watuhumiwa wa…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Soulja Boy amesema kuwa Chris Brown amejiondoa kupigana kwenye pambanao lao lililopangwa mwanzoni mwa mwaka huu. Wawili hao walikuwa wamezozana kwenye mitandao ya kijamii na baadaye…
Muimbaji wa nyimbo za Singeli, Msaga Sumu amewachana waimbaji wa muziki huo kwa kusema kuwa hawana ubunifu kutokana na ukimya wao. Wasanii wa nyimbo za Singeli wamelalamikiwa kwa kukosa ubunifu…
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) pamoja na Serikali ya Tanzania wamesaini makubaliano ya kupitia upya Sera ya Taifa ya Misitu ya mwaka 1998 ambayo imekuwa…
Timu ya Tenisi ya Walemavu ya Tanzania imefanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya Dunia BNP Paribas baada ya kuifunga Kenya kwa Seti 2-0 katika mchezo wa Fainali wa mashindano ya kufuzu…
Luteni Jenerali wa Marekani, Herbert Raymond McMaster ameteuliwa kuwa mshauri mkuu wa Ikulu kuhusu usalama wa taifa. Uteuzi huo wa Luteni Jenerali Herbert Raymond McMaster umefanywa na Rais wa nchi…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke, kimesema hakitamjadili Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu, Yusuph Manji hadi kesi yake kuhusu madai ya kutumia dawa za kulevya itakapomalizika mahakamani. Msimamo…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam (ZPC), Kamishna Simon Sirro na Mkuu wa Upelelezi wa kanda hiyo (ZCO), Camilius…
Tazama video mpya kutoka kwa mwanamuziki, Yemi Alade akiwa na kundi la Mi Casa kutoka Afrika Kusini.
Rais mstaafu wa awamu ya nne ambaye ni mjumbe wa kamisheni ya kimtaifa ya elimu, Dkt. Jakaya Kikwete amefanya ziara nchini Tunisia na kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo,…
Serikali ya Demokrasia ya Congo imekataa wito wa kimataifa wa kulitaka taifa hilo kufanyia uchunguzi picha ya video inayowaonyesha raia wa nchi hiyo wakiwaua mwanamke na mwanaume. Msemaji wa serikali…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe jana amejisalimisha katika Kituo Kikuu cha Polisi Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na sakata linaloendelea la vita…
Mahakama ya Rufaa jijini Mwanza imehairisha rufani ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Bunda Mjini ili kutoa nafasi kwa, Ester Bulaya kupata muda wa kujibu hoja za kisheria…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, January Makamba amesema kuwa Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa kwa ajili ya kufuatilia utengenezaji wa pombe aina…
Serikali imesema itaweka mikakati madhubuti ya kutangaza madini ya tanzanite nje ya nchi ili kujulikana zaiid. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameyasema hayo mwishoni mwa wiki katika mkutano wa hadhara uliofanyika…
Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli alitolewa nje ya uwanjani kwa mara ya tatu msimu huu baada ya kupewa kadi nyekundu kwenye mechi dhidi ya klabu ya Lorient katika Ligue 1.…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema kuwa anakubaliana na sera ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Marekani iwe ya Wamarekani. Mugabe, ambaye ndiye mara ya kwanza anazungumzia utawala wa…
Staa wa stand up comedy kutoka Bongo ambaye pia aliwahi kuwa mshindi wa mashindano ya Big Brother, Idris Sultan ameweka wazi kuwa hulka na tabia ya watanzania ya kupenda kujua…
Baadhi ya wanachama wa NCCR-Mageuzi wamemtaka Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia na Katibu Mkuu wa chama hicho, Martin Danda kujiuzulu ndani ya siku tatu kutokana na tuhuma mbalimbali zikiwamo…
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga ameelezea sababu za Diamond Platnumz kutokamatwa barabarani baada ya kuendesha gari huku akiwa ameachia usukani. Kama Mpinga amesema kuwa…