Waziri Mkuu aongoza mkutano wa watendaji wakuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua mkutano wa siku moja wa watendaji wakuu na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma, unaojadili nafasi za mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua mkutano wa siku moja wa watendaji wakuu na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma, unaojadili nafasi za mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango…
Jeshi la Polisi mkoani Tanga linawashikilia watu kumi (10) kwa tuhuma za kukutwa na kilo zaidi ya 200 za dawa za kulevya aina ya heroin, mirungi na bangi. Pia Jeshi…
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa yeye ndiyo rais wa visiwa hivyo na Uchaguzi Mkuu mwingine utafanyika mwaka 2020. Dk Shein amesema kuwa yeye ndio Rais wa…
Rais wa Gambia, Adama Barrow amemfuta kazi mkuu wa majeshi Jenerali Ousman Badjie ambaye alikuwa chini ya uongozi wa rais Yahya Jahmmen. Jenerali Badjie ametangaza utiifu wake kwa rais aliyeondoka…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Movie, Izzo Bizness amesema kuwa hana mahusiano na mwanamuziki mwenzake Abela ambaye wanaunda kundi la 'The Amazing'. Kauli ya Izzo imekuja kufuatia baadhi ya mashabiki wakisema…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa ataongeza bajeti ya jeshi la Marekani mpaka kufikia dola bilioni 54 ili kuimarisha jeshi hilo. Maafisa wa ikulu ya White House wanasema…
Jumla ya askari 14 wa Jeshi la Polisi Zanzibar wanatuhumiwa kushirikiana na waingizaji wa dawa za kulevya visiwani humo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohamed…
Nyumba ya Mama mzazi wa Wema Sepetu iliyopo maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam imepigwa mawe juu ya bati kwa muda wa saa moja na nusu na watu…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekuwa akiwasiliana na kujuliana hali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa,…
Wafanyakazi wawili wa kampuni ya Quality Group iliyo chini ya Yusuf Manji wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashtaka matatu likiwemo la kufanya kazi nchini bila ya…
Serikali ya mkoa wa Mtwara imeendelea kupokea misaada kwa ajili ya kusaidia baadhi ya watanzania walioondolewa nchini Msumbiji kinyume na taratibu ili warudishwe makwao. Akipokea msaada wa shilingi laki tano…
Baada ya kimya cha muda mrefu, Muigizaji wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ anatarajia kuzindua filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Gate Keeper' Machi 3 mwaka huu. Ray amesema…
Muongozaji filamu raia wa Iran, Asghar Farhadi amemkosoa rais wa Marekani Donald Trump na kumtaja kuwa mkosa utu baada ya filamu yake ya The Salesman kushinda tuzo la filamu bora…
Leicester City imepanda mpaka nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuicha Liverpool kwa mabao 3-1 kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa King Power. Leicester…
Jana kulikuwa na sherehe ya utoaji tuzo za filamu maarufu kama Oscar Awards zilizofanyika katika ukumbiwa Dolby Theatre, Hollywood nchini Marekani. Baadhi ya picha kwenye tukio hilo la utoaji tuzo…
Mkali wa hip hop, Dogo Janja ameingizwa mjini na watu wasiojulikana baada ya kuibiwa baadhi ya vitu kwenye gari lake aina ya Porte ikiwemo taa, radio na power window. Dogo…
Kuna mambo mengi yanayoweza kutumika kutoa sifa kwa mastaa wa mambo mbalimbali kisha sifa hizo zikazaa vyeo nakadhalika. Lakini kwenye Bongo Fleva kuna vitu tofauti sana vinavyomfanyaDiamond Platnumz kuwa STAA…
Mkali wa Bongo Fleva, Alikiba kesho anatarajia kurejea nchini baada ya kumaliza ziara yake ya kimuziki katika miji mitano nchini Afrika Kusini. Alikiba anatarajia kuwasili kesho majira ya saa nane…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema watamchukulia hatua muwekezaji aliyetoa ardhi kwa serikali ya mkoa wa dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa viwanda…
Muigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Ahmed Olotu, ‘Mzee Chillo’ amewataka baadhi ya madaktari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kuepuka vitendo vya rushwa ili kuwafanya wananchi kuwa na imani nao. Mzee…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mazungumzo ya kusitisha mapigano nchini Syria yaliyofanyika Astana mwaka huu yamesaidia kufungua njia ya mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Umoja wa Mataifa mjini Geneva.…
Rais wa Shirikisho la Soka dunia (FIFA), Gianni Infantino amezindua ujenzi wa Hoteli ya chama cha soka cha Rwanda kwa gharama za FIFA. Infantino ameweka jiwe la msingi katika ujenzi…
Shirika la Ndege za Kenya (Kenya Airways) limepewa kibali cha usalama na maafisa wa Marekani kuanza safari za ndege za moja kwa moja hadi Marekani. Waziri wa Uchukuzi wa Kenya,…
Mahakama ya Rufani nchini, imefuta rufaa mbili za Jamhuri dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), baada ya Mawakili wa Jamhuri kudai hawana nia ya kuendelea na rufaa…
Mwanariadha wa Kenya, Charles Maroa amefariki dunia kwenye hospitali ya KCMC iliyopo Moshi baada ya kuanguka wakati akishiriki mbio za Kili Marathon zilizofanyika jana mkoani Kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimetuma maombi Serikalini ilikupandishwa hadhi na kuwa Chuo Kikuu kutokana na kukidhi vigezo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa amemtaka mshambuliaji wa klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic kuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili anendelee kusalia katika klabu hiyo. Ibrahimovic mwenye umri wa…
Utoaji wa tuzo za filamu maarufu nchini Marekani (Oscar) umefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dolby Theatre, Hollywood nchini Marekani. Katika utoaji wa tuzo hizo wasanii kibao wa filamu…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu anatarajiwa kukabidhiwa kadi ya Chadema akiwa pamoja na kundi lake lenye zaidi ya watu 500 waliojiunga na chama hicho wiki iliyopita. Chadema wamesema kuwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Andengenye anachukua nafasi ya Kamishna Jenerali Pius…