Makonda: Kelele zinazoendelea dhidi yangu ni dalili za mafanikio vita dhidi ya dawa za kulevya
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kelele zinazoendelea dhidi yake ni dalili za mafanikio katika vita dhidi ya dawa za kulevya. Makonda ameyasema hayo jana alipokuwa…