Waziri Mkuu afanya ziara mgodi wa Buzwagi mkoani Shinyanga
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga na kuchukua sampuli za mchanga kwa lengo la kwenda…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga na kuchukua sampuli za mchanga kwa lengo la kwenda…
Dansa kutoka kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amesema kuwa hajawahi kufikiria kuimba kutokana na kazi hiyo kutumia akili nyingi tofauti na kucheza. Iyobo amesema ataendelea kubaki kuwa…
Kocha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) Salum Mayanga amefanya mabadiliko kwenye kikosi kitakachoivaa Burundi kwenye mechi ya kirafiki leo uwanja wa Taifa. Kikosi hicho kina mabadiliko kadhaa katika baadhi…
Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Manchester United, Paul Pogba ametumia siku ya jana kusheherekea siku ya kuzaliwa baba yake mzazi ambaye amelazwa hospitali. Pogba mwenye…
Baada ya beki wa timu ya Taifa ya Jamhuri ya Ireland na klabu ya Everton, Seamus Coleman kuvunjika mguu, Shirikisho la Soka Dunia (FIFA) limesema litamlipa kwa kipindi chote atakacho…
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amekabidhi ofisi ya wizara hiyo kwa Waziri wa mpya, Dkt. Harrison Mwakyembe. Nape ambaye ni mbunge wa Mtama mkoani Lindi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana alimualika Nay wa Mitego Ikulu baada kuachiwa na Jeshi la POlisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Nay…
Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Swae Lee amesema kuwa ameamua kuachana na ndoto za kuwa kimapenzi na binti wa Barack Obama, Malia Obama. Swae Lee amesema kwamba safari ya…
Askari wawili wanaotuhumiwa kuiba mafuta ya ndege ya Kampuni ya ATCL, kwa kushirikiana na walinzi wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhujumu uchumi. Washtakiwa hao na wenzao wawili walipandishwa kizimbani jana…
Klabu ya Manchester City imetozwa faini ya paundi elfu 35 (zaidi ya shilingi milioni 70) na chama cha soka cha Uingereza, FA kufuatia kulalama mbele ya mwamuzi wakati alipotoa adhabu…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa mtu aliyemtishia bastola aliyekuwa waziri wa Habari, Sanaa, Utamduni na Michezo, Nape Nnauye si askari wa Jeshi la Polisi.…
Mwanaharakati aliyeshiriki kupigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Ahmed Kathrada amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Kathrada amefariki dunia akiwa katika hospitali moja…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewataka askari na Maafisa wa jeshi la Polisi nchini kutotumia madaraka yao vibaya kwa kuwabambikizia wananchi kesi. Mwigulu Nchemba amesema hayo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Ripoti hiyo imewasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi…
Baada ya Rais Magufuli kutoa agizo la kuachiwa kwa mwanamuziki Nay wa Mitego, aliyekuwa waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye amepongeza uamuzi huo. Kupitia akaunti yake Twitter,…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' ambaye alikuwa amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa polisi kuhusiana na wimbo wake ameachiliwa huru. Nay Wa Mitego ameachiliwa huru saa…
Baada ya kuiangamiza Botswana, kesho Taifa Stars itashuka dimbani dhidi ya Burundi kwenye mechi ya kirafiki itakayofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo wa Jumamosi, Taifa…
Serikali mkoani Mbeya imeagiza kurejeshwa kwa wananchi eneo la mfanyabiashara maarufu mkoani humo, Simon Gatuna lililopo katika Kata ya Uyole jijini Mbeya kutokana na mfanyabiashara huyo kutokidhi vigezo vya kuendelea…
Staa wa Bongo Fleva na mmoja wa wamiliki wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni DON miongoni mwa wasanii wa nchi hii. Platnumz kupitia akaunti yake…
Baada ya jana mashehe kuonekana kuhudhuria ibada katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mchungaji, Josephat Gwajima, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limesema halihusiki na mashekh hao. Taarifa ya…
Kamaati ilyoundwa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa kuchunguza kifo cha Faru John imetoa taarifa kuwa mnyama huyo alikufa hifadhi ya Sasakwa Gruneti kwa kukosa matibabu wakati alipoumwa. Akiwakilisha ripoti hiyo…
Wanariadha wa kike wa Kenya wameweka historia mpya kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika yaliyofanyika nchini Uganda. Wanariadha hao wamefanikiwa kushika nafasi 6 za juu na hivyo kutwaa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuachiwa huru kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego na wimbo wake 'Wapo' uchezwe kwenye media mbalimbali…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Barnaba kupitia akaunti yake ya Instagram ametoa taarifa ya kuibiwa vitu vyake ndani ya gari lake usiku wa kuamkia leo. Barnaba ameandika kwenye ukurasa wake…
Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), Hicham El Amrani ametangaza kujizulu nafasi yake hiyo. Kujiuzulu kwa katibu mkuu huyo baada ya aliyekua rais wa shirikisho hilo Issa…
Dada yake mdogo wa aliyekuwa kiongozi wa Cuba, Fidel Castro amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Agustina Castro Ruz hakushiriki katika siasa chini ya ndugu zake wawili, Fidel…
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Mzalendo Foundation, Khamis Mgeja amelaani kitendo cha kutishiwa kwa silaha ya moto aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. Amesema kwamba,…
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nay wa Mitego 'Wapo' kutokana na kukosa maadili kwa jamii. Nay wa Mitego amekamatwa na Jeshi la Polisi kutokana na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewateua maofisa sita wa uhamiaji kushika nyadhifa mbalimbali katika jeshi hilo. Wateule hao ni Mrakibu wa Uhamiaji (SI) Edward…
Aliyekuwa rais wa taifa Korea Kusini, Park Geun-hye uhenda akakamatwa kutokana na kwa kashfa ya ulaji rushwa nchini humo. Park Geun-hye amefuunguliwa mashtaka mapema mwezi huu na akaondolewa rasmi madarakani…