Serikali kutoa hatimiliki za viwanja kwa kutumia mfumo wa kielektroniki kuanzia mwakani
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendelo ya Makazi, William Lukuvi amesema kuwa Serikali itaanza kutoa hatimiliki za viwanja kati ya siku moja na siku saba kwa kutumia mfumo wa kielektroniki…