Waziri mkuu wa Uhispania aitaka Catalonia kuacha mpango wa kujitenga
Waziri Mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy amemtaka Kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont kuachana na mpango wa kujitenga kama sharti la kuanzisha mazungumzo. Jana Uhispania ilikataa wito wa kiongozi huyo wa…