Kubenea augua mbele ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Dodoma
Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amepelekwa katika zahanati ya Bunge baada ya kujihisi vibaya. Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde amesema leo Jumatano kuwa, Kubenea amefika mbele ya…