Video: Mayweather ammwagia manoti McGregor
Tazama video bondia wa Marekani, Mayweather akimtambia mpinzani wake McGregor mbele ya mashabiki.
Tazama video bondia wa Marekani, Mayweather akimtambia mpinzani wake McGregor mbele ya mashabiki.
Mwanamuziki wa Marekani, Usher Raymond yupo hapa nchini akitembelea eneo la uhifadhi wa wanyama pori la Serengti National Park. Raymond aliweka baadhi ya picha akiwa na familia yake katika akaunti…
Wabunge Taiwan leo wamepigana kwa kurushiana viti na mabaluni ya maji baada ya kutofautiana kuhusu mradi mmoja wa miundombinu nchini humo. Tukio hilo ni mwendelezo wa matukio yaliyoanza jana ambapo…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa huenda Marekani ikabadili msimamo wake kuhusu mpango wa makubaliano ya tabia nchi ya Paris. Trump alijiondoa katika makubaliano hayo 2015 mwezi uliopita, akitaka…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya 'AY' amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake anayefahamika kwa jina la Remy. Tukio la kumvalisha pete limefanyika jana siku ya Alhamisi na kuhudhuriwa…
Mwanamuziki wa Marekani, Beyonce Knowles amewaonesha hadharani watoto wake mapacha kwa mara ya kwanza ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kujifungua. Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa…
Shabiki mmoja ameshindwa kujizuia baada ya kutoka jukwaani na kuingia hadi uwanjani kwenda kumkumbatia mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Gor Mahia dhidi ya…
Watu wasiojulikana wameichoma moto ofisi ya Chama cha Mapinduzi tawi la Mshonzini iliyopo wilayani Mafia mkoani Pwani na kuteketeza mali mbalimbali za chama hicho. Akithibitisha tukio hilo, Katibu wa CCM…
Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI), Robert Boaz, ametoa onyo kali kwa watumiaji wa mitandao ya jamii kwa lengo la upotoshaji na kuliagiza Jeshi la polisi kuanza mara…
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Balozi Juma Mwapachu amestaafu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa vipindi viwili. Mwapachu amechukua uamuzi huo leo baada…
Klabu ya Chelsea wameambiwa wanaweza kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre Emerick-Aubameyang, 28, kwa pauni milioni 60 baada ya Tianjin Quanjian ya China kusema haitaki tena kumsajili mchezaji huyo. Borussia…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeshindwa kusikiliza kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili video queen, Agnes Gerard 'Masogange' kwa sababu ana tatizo la kiafya. Hayo yameelezwa leo mbele…
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu mwenyeki wa klabu hiyo Geofrey Nyange 'Kaburu' leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiwa na kesi ya utakatishaji…
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imefunga ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Radio Free Afrika na Star Tv kutokana na deni la shilingi bilioni 4.5. Ofisi…
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mohamed Mpinga amechaguliwa kuwa Kamanda wa polisi wa mkoa Mbeya. Katika taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi…
Watangazaji wa Radio Citizen na Citizen TV za nchini Kenya, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuelekea Karbanet, kupata ajali katika eneo la Kibra jijini Nairobi. Taarifa kutoka kwa…
Aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na Wenzake watano waliokuwa wakishtakiwa na makosa ya uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya sh. Bilioni 12.7 wameachiwa huru na mahakama ya hakimu…
Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imewaachisha kazi wafanyakazi 12 waliokuwa wamesimamishwa kwa mwaka mmoja sasa. Wafanyakazi hao walisimamishwa kazi Julai 2016 kupisha uchunguzi…
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amewasili makao makuu ya Polisi kwa ajili ya mahojiano na mkurugenzi wa upelelezi na makosa ya jinai…
Mbunge wa Kaliua mkoani Tabora (CUF) Magdalena Sakaya amejia juu mbunge wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea baada ya kutangaza ‘Oparesheni Ondoa Msaliti Buguruni’. Kubenea amedai kuwa oparesheni hiyo inalenga kumuondoa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 49 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili waweze kujikwamua kiuchumi. Wakati wa kukabidhi pikipiki hizo Waziri mkuu…
Klabu ya Asante Kotoko ya nchini Ghana imepeata ajali mbaya ya gari wakati ikitoka kwenye mechi katika mji kuu wa Accra. Timu hiyo ilikuwa inarejea katika mji wake ambao ni…
Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Ignacio Lula da Silva, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa na nusu jela kwa makosa matano ya ulaji rushwa. Lula aliondoka kutoka umaskini enzi za…
Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuachia wimbo mpya 'Eneka' staa kutoka Nigeria, Yemi Alade ameonyesha kuguswa na kibao hiko. Kwenye wimbo huo Diamond amesikika akiimba maneno ya…
Shirikisho la soka nchini TFF limetoa ratiba ya ligi kuu msimu ujao huku msimu ujao huku Simba na Yanga zikikutana Oktoba 14 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.…
Serikali ya Japan imekabidhi kiwanda cha kuchakata na Kuzalisha Mafuta ya Alizeti kwa chama cha Ushirika wa Kilimo na Masoko wilayani Chato Mkoani Geita chenye uwezo wa kuzalisha lita 700…
Kiungo wa timu hya Taifa ya Uingereza, Eric Dier anataka kuondoka Tottenham ili kujiunga na Manchester United ambao wanatarajiwa kutoa dau la pauni milioni 50. West Brom wanataka kuwasajili Chris…
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS, Tundu Lissu amesema kuwa watu wote waliopata mgawo wa fedha hizo wakamatwe kwakuwa wameuthibitishia umma kuwa ni wala rushwa. Lissu amesema kuwa kwa…
Klabu ya Manchester United imemchagua kiungo wake wa kati Michael Carrick kuwa nahodha wa klabu hiyo. Carrick mwenye umri wa miaka 35 ndio mchezaji aliyeichezea Manchester United kwa kipindi kirefu…
Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12 ambaye ni raia wa Ghana. Anaishi na familia yake katika kijiji chaAmankrom kilicho umbali wa…