Tundu Lissu arudishwa rumande, kesi yake yapigwa kalenda hadi Julai 27
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka moja la kutoa lugha ya uchochezi. Wakili wa Serikali Mutalemwa Kishenyi alimsomea Tundu Lissu…