Mbowe: Serikali haiwezi kujenga viwanda peke yake bila kuihusisha sekta binafsi
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali haiwezi kujenga viwanda peke yake bila kuihusisha sekta binafsi ambayo ndiyo mdau mkuu katika uwekezaji nchini. Mbowe amepinga kusudio la Rais John Magufuli…