Spika Ndugai awapa neno wapinzani Bungeni
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaambia wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaambia wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu…
Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez, 28, ana wasiwasi kuwa huenda Arsenal wakazuia uhamisho wake kwenda Manchester City, na hivyo kuacha Bayern Munich kuwa kimbilio pekee (Mirror). Arsenal wametakiwa kulipa pauni…
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Taarab, Khadija Kopa amesema muziki huo unaonekana kama umepoteza ladha kwa sababu ya nyimbo zao kupigwa sana sehemu ya kuuza vilevi na kupotezewa katika vyombo…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa kikosi cha Polisi kinaendelea na kazi yake wilayani Kibiti. Kamanda Sirro amesisitiza watu wanaofanya mauaji na utekaji…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka maaafisa na makamanda wa Jeshi la Magereza nchini waendelee kusimamia haki na usawa wanapotimiza wajibu wao. Majaliwa amesema hayo…
Katibu mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo amewaaka wapinzani kumuunga mkono Rais Magufuli kwenye sakata la usafirishaji wa mchanga wa madini. Kauli hiyo ameitoa jana baada…
Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imethibitisha kuwa ipo katika mpango wa kupunguza wafanyakazi wake hasa walinzi wa mgodi huo. Meneja habari na mahusiano ya jamii wa Acacia, Bi. Nectar…
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amefunguka na kusema kwamba ukosefu wa pesa na mapromota waongo ndicho kitu pekee kilichomfanya apotee katika ramani ya muziki nchini. Saida amefunguka…
Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Sean Combs maarufu kama Diddy ametajwa kuwa ni mtu maarufu anayeingiza mkwanja mrefu zaidi duniani. Diddy ametajwa kulipwa kiasi cha dola milioni 130 kwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema kitendo cha kampuni kadhaa za uchimbaji madini kushirikiana na baadhi ya watumishi wa umma nchini kufanikisha utoroshaji wa…
Serikali imeagiza kuwa viongozi wa zamani waliotajwa jana kuhusika na mikataba mibovu ya madini wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania mpaka kupata kibali maalum kutoka Serikalini. Waliozuiliwa ni Mawaziri, Wanasheria…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameonesha kukerwa na kitendo cha Zari ambaye ni mpenzi wake waliezaa nae watoto wawili. Kumekua na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani…
Serikali inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa nchini Libya, imepinga kuachiliwa kwa mwana wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Kanali Gaddafi. Seif Al Islam Gaddafi, alikuwa amezuiliwa na kundi la…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema ataunda timu yake itakayofuatilia suala la madini ya almasi. Ndugai ameyasema hayo leo baada ya kamati ya pili…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Izzo Bizness amedai hawezi kulala njaa kusubiri simu za promota kwa ajili ya show kwani kipaji anacho ndio maana anajiongeza zaidi mikoani. Izzo amefunguka hayo baada…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewachimba mkwara baadhi ya wabunge ambao huwa wanakazi ya kuropoka bungeni na kusema anawasubiri waropoke tena nje ya…
Mke wa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa amesema kuwa maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2020 yanapaswa kuanza mapema. Hayo ameyazungumza jana mbele ya wajumbe wa…
Mke wa Rais wa Marekani, Melania Trump na mtoto wake wamehamia Ikulu ya Marekani ya White House miezi matano tangu Donald Trump kuingia ofisini. Melania Trump na mtoto wake wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amesikitishwa na yaliyotokea kwenye ripoti ya pili ya mchanga wa madini iliyowasilishwa leo Ikulu jijini Dar es…
Kamati ya pili kuhusu mchanga wa madini imewataja Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na Mbunge wa Sengerema, Wiliam Ngeleja kuhusu mikataba ya madini iliyoingiwa miaka iliyopita. Mbali na hao…
Mwenyekiti wa kamati ya pili iliyofanya uchunguzi wa usafirishaji wa mchanga wa madini, Profesa Nehemiah Osoro amesema kuwa kampuni ya madini ya Acacia haina sifa ya kufanya shughuli za uchimbaji…
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha mchakato wa kushughulikia maombi ya IPTL ya kuongezewa muda wa leseni yake ya biashara kwa miezi 55 ili iendelee…
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amesema wanatarajia kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa Bunge wa kuwasimamisha kutofanya shughuli za kibunge kwa mikutano mitatu mfululizo. Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini,…
Zaidi ya wafungwa 900 wametoroka baada ya kutokea shambulizi na kuvunja gereza moja nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Watu 11 wameuawa katika tukio hilo Kaskazini Mashariki mwa mji wa…
Mtu mmoja, Japhet Lendiman (38) mkazi wa Daraja Mbili mkoani Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi, baada ya kubaka watoto wake wa kike wa darasa la sita na kidato cha…
Mwenyekiti wa chama cha CHAUMMA, Hashim Rungwe amesema kuwa kitendo cha Rais wa Magufuli kumteua Anna Mghwira kuwa RC siyo jambo baya bali tatizo ni namna uteuzi unavyofanywa. Hashim Rungwe…
Meneja wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Aslay aitwae Chambuso amesema kuwa mwanamuziki huyo hajawahi kuwa na ukaribu na Alikiba. Kauli hiyo ya Chambuso imekuja baada ya kusambaa maneno kuwa Aslay…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajia kupokea ripoti ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyochunguza madini yaliyopo kwenye makontena yenye mchanga…
Watoto wa shule nchini Korea Kaskazini hulazimishwa kushiriki katika aina tofauti tofauti ya michezo ikiwamo matumizi ya silaha kali. Wakati wakifunzwa kumlinda Kiongozi wa Taifa hilo dogo la kikomunisti, Kim…
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia mgodi wa dhahabu wa wachimbaji wadogo katika kijiji cha Nyakavangala kilichopo wilayani Iringa na kupora fedha tasilimu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 80 na…