Mzee Yusuf afunguka sababu ya kuacha muziki
Aliyekuwa mwimbaji wa muziki wa Taarab Mzee Yusuph amesema kuwa ameacha muziki ile awe Muumuni wa Dini ya Kiislamu na kumfuata Mtume Muhammad (SAW). Mzee Yusuph amesema hayo leo wakati akifanya…
Aliyekuwa mwimbaji wa muziki wa Taarab Mzee Yusuph amesema kuwa ameacha muziki ile awe Muumuni wa Dini ya Kiislamu na kumfuata Mtume Muhammad (SAW). Mzee Yusuph amesema hayo leo wakati akifanya…
Mshambuliaji Alvaro Morata, 24, huenda akakamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 65 kutoka Real Madrid kwenda Manchester United mapema wiki ijayo (Daily Mirror). Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe amesema itabidi'afanye…
Mwanamuziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki leo amefundhisha somo la hesabu katika shule ya msingi ya Mchikichini iliyopo Mbagala na kuwapa hamasa wanafunzi kupenda somo hilo na kukabidhi vitabu vya…
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema Serikali isipoifutia leseni ya uchimbaji madini Kampuni ya Mwabangu, ataungana na wananchi na kuwaruhusu wang’oe mabati katika Chuo cha Madini wagawane. Akichangia bajeti…
Mfanyabiashara nchini, Ndama Shabani Hussein, maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto ya Ng’ombe amepata dhamana baada ya kulipa milioni 200. Ndama amepata dhamana baada ya kuwa na wadhamini wawili na kuwasilisha…
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewatahadharisha wananchi kuhusu upatu unaoendeshwa na taasisi ijulikanayo kama D9 Club inayotangaza kushawishi ununuzi wa hisa inafanya hivyo bila mamlaka husika.
Waigizaji wa Bongo Movie, Gabo Zigamba na Wema Sepetu wamezindua filamu mpya yao mpya iitwayo 'Kisogo'. Filamu hiyo itaonekana na mtu yeyote mwenye simu ya mkononi ya kisasa (smartphone) kupitia…
Wabunge wamepitisha Azimio la kumuunga mkono Rais John Magufuli kwa kazi kubwa, anayoifanya ya kulinda rasilimali za Taifa yakiwamo madini. Aidha, wameshauri hatua kali zichukuliwe kwa mujibu wa Sheria, Kanuni…
Rais wa Marekani, Donald Trump anachungzuwa na mwanasheria maalum Robert Mueller, kwa kile kinachotajwa kuwa alizuia sheria, kwa mujibu wa gaezti la Washington Post. Gazeti hilo linasema kuwa maafisa watatu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemtua Profesa Longinus Rutasitara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuanzia tarehe 31 Mei, 2017.…
Klabu ya soka ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki, Victor Lindelof kutoka Benfica kwa ada ya paundi milioni 31. Manchester United imethibitisha kuwa tayari inakamilisha taratibu za kumsajili beki…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amethibitisha shamba lake kuvamiwa na viongozi wa serikali ya Wilaya na kuharibiwa miundombinu ya shamba hilo huku akidai anajua yote hayo yanafanyika kutokana na misimamo…
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anashughulikia uwezekano wa kununua wachezaji watatu wa kimataifa wa Ufaransa, huku akijiandaa na wachezaji kadhaa kuondoka Emirates. Wenger anataka kuwasajili Kylian Mbappe, 18, na Thomas…
Bunge limeitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaothibitika kuhusika kuliingizia Taifa hasara na kuwakosesha Watanzania fursa ya kufaidika na rasilimali za madini. Hoja hiyo imetolewa leo Jumatano bungeni…
Nchi ya Afrika Kusini wanataka kubadilisha jina la nchi yao, wakidai jina South Africa sio jina bali linaeleza mahali nchi ilipo katika bara la Afrika. Kimsingi wanasema South Africa ni…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa…
Baada ya mwanamuziki wa Nigeria, Wizkid kuachia wimbo wake mpya ‘African Bad Gyal’ kufanya vizuri kwenye vyombo mbalimbali vya habari, msanii huyo ameweka wazi kuwa anabebwa vizuri na mkali wa…
Chama cha Soka nchini Uingereza (FA) kimetoa ratiba ya ligi msimu mpya wa 2017/17 utakaoanza Agosti 12 mwaka huu. Mechi za ufunguzi Jumamosi, 12 Agosti, 2017 Arsenal v Leicester City…
Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, imesema kuwa inafanya kazi nchini kwa misingi ya sheria na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CMSA) inatambua uwepo wake. Kauli hiyo imekuja…
Watu kadhaa wamefariki baada ya moto mkubwa kuteketeza jengo refu usiku wa kuamkia leo mjini London nchini Uingereza. Wazima moto bado wanakabiliana na moto huo katika jumba la Grenfell Tower,…
Mshambulijai wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anatarajiwa kufunguliwa mashtaka ya ukwepaji kodi kiasi cha doa za kimarekani milioni 16.5. Waendesha mashtaka wamedai kuwa kodi ni kuanzia mwaka 2011 mpaka 2014…
Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeng’oa mitambo ya umwagiliaji iliyopo katika shamba mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na kumtoza faini ya milioni 18 kwa kuendesha…
Tazama video mpya ya mwanamuziki wa nyimbo za Asili Saida Karoli, ngoma inaitwa 'Orugambo'.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa Abdallah Safari amemwagia sifa Rais Magufuli kwa hatua anazochukua kuhusu sakata la usafirishaji wa mchanga wa madini (Makinikia). Kauli hiyo ya Profesa Safari imekuja siku…
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza wakuu wote wa mikoa Tanzania Bara kuongeza juhudi za utatuzi wa migogoro ya ardhi. Rais Magufuli pia…
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Edward Lowassa amempongeza Rais Magufuli kwa hatua anazozichukua kuhusu sakata la usafirishaji wa mchanga wa madini. Lowassa amesema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi…
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki amefunguka na kusema tayari serikali imeshatoa kibali cha ajira 15000 kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na…
Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa kuwa ndani ya Jeshi hilo hakuna ajira zilizotangazwa na kuwataka wananchi wote kuwa makini na mtandao wa matapeli. Kauli hiyo imetolewa leo na msemaji…
Zaidi ya watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Jumanne, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu…
Aliyekuwa mchezaji wa kikapu nchini Marekani, Dennis Rodman amefanya tena ziara nchini Korea Kaskazini. Nyota huyo wa zamani wa NBA amefanya ziara ya kibinafsi nchini humo kwa ajili ya kukutana…