Mfanyabiashara apandishwa kizimbani kwa kukutwa na sare za JWTZ
Mfanyabiashara wa Kariakoo, Casto Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na vifaa vya serikali ambavyo ni suruali 5,000 sare za Jeshi la…