Rayvanny awasili nchini na tuzo yake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017 amewasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Rayvanny alipata…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017 amewasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Rayvanny alipata…
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu hiyo. Ngoma aliwasili jana usiku Dar es Salaam baada ya taarifa kwamba amesaini mkataba wa miaka…
Nchi ya China imezindua manowari mpya ya kijeshi iliyoundwa nchini humo katika jitihada za hivi punde za kuboresha jeshi lake. Uzinduzi huo unajiri baada ya China kuzindua meli ya kwanza…
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amelishauri Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata), kuwaunganisha vijana wote wasomi wa Kiislamu. Alisema vijana hao ni waliopo katika taasisi za serikali na binafsi ili…
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Qatar, Sheikh Mohammed Al Thani amewalaumu majirani wake wa Ghuba, kwa kukataa mazungumzo kuhusu matakwa yao, ili kurejesha safari za ndege, baharini…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba Julai Mosi mwaka…
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif ameishutumu Wakala wa Usajili, Mufirisi na Udhamini (RITA) kwa kusajili Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CUF ambao anadai ni feki. Maalim Seif amesema…
Klabu ya Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata, 24, unasuasua baada ya Real kupandisha dau la mchezaji huyo hadi karibu pauni milioni 80 (Mirror). Morata ambaye ameoa…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema suala la mauaji yanayoendelea katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji, linahitaji mshikamano na kuwa mauaji hayo hayapewi nafasi ya kuendelea. Zitto ameandika…
Baada ya kimya cha muda mrefu, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ray C ameachia video mpya ya wimbo wake mpya unaoitwa 'Unanimaliza'.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Celestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Viongozi hao wamepelekwa Polisi kwa…
Kampuni ya Google imepigwa faini ya dola bilioni 2.7 na tume ya ulaya baada ya kampuni hiyo kukiuka mamlaka yake ya kuweka matangazo yake binafasi kuwa ya kwanza. Faini hiyo…
Mtendaji wa Kiijiji cha Mangwi Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti, Shamte Rashidi Makawa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. Naye Mwenyekiti wa kijiji hicho nyumba…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (President’s Delivery Bureau – PDB)…
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema kuwa ameohojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). Baada ya mahojiano hayo Lowassa…
Liverpool wamemuulizia winga wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain, 23, ambaye huenda akagharimu pauni milioni 25, huku Manchester City na Chelsea pia wakimnyatia (Mirror). Manchester City wana uhakika wa kumsajili beki kutoka…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amewasili kwao nchini Ureno kwa ajili ya mazishi ya baba yake mzazi. Baba yake Mourinho aitwae Jose Manuel Mourinho Felix 79 amefariki Dunia baada…
Mwanamuziki ya nyimbo za reggae nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amekamatwa na polisi. Alikuwa akifanya kampeni kama mgombea huru kwa nafasi ya ubunge nje ya mji wa…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata…
Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema viongozi na watendaji watakaoitumia CCM kwa faida yao binafsi siku zao zitahesabika. Polepole alisema chama hicho kitaendelea…
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Edward Lowassa leo amewasili katika Makao Makuu ya Polisi jijini Dar saa nne kama alivyotakiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).…
Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili, Saida Karoli amewamwagia sifa kedekede wasanii wa Bongo Fleva, Ray C na Darassa kutokana na nyimbo zao kubamba sana masiki mwa watu. Saida amesema…
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Al hadji Ali Hassan Mwinyi amesema kama si utawala wa katiba uliopo nchini, utawala wa Rais John Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote. Mwinyi…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepiga marufuku usafirishaji wa chakula nje ya nchi bila kibali na kuwataka wafanyabiashara kuuza chakula kwenye maeneo yenye uhaba nchini.…
Rais wa Marekani, Donald Trump amevunja tamaduni ya karibu miaka ishirini kwa kukosa kuandaa chakula cha jioni kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadan. Hafla hiyo inayoandaliwa katika ikulu ya…
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo alimaarufu kama 'Mzee wa Upako' amesema kuwa mtu kufa maskini ni jambo ujinga. Mzee wa Upako amesema mtu anapokufa akiwa ameacha mali…
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema jitihada zinazofanywa na Rais John Magufuli za kulinda rasilimali za taifa zinaenda sawa na mafundisho ya dini ya…
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal, El Hadji Diouf alipata sifa ya kuwa kijana mtukutu wakati akicheza mpira. Kwasasa amchezaji huyo amestaafu anasema kuwa sifa yake ya utukutu…
Mjumbe wa kamati ya Chadema, Edward Lowassa amemtaka Rais Magufuli kutafakari hatima ya masheikh wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumuki) maarufu ‘Uamsho’ wanaosota gerezani kwa miaka…
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anataka kusajili mabeki wanne wapya - Dani Alves, 34, kutoka Juventus, Kyle Walker, 27, kutoka Tottenham, Ryan Bertrand, 27, kutoka Southampton na Benjamin Mendy,…