Mrembo auawa na kuchomwa moto na mpenzi wake Afrika Kusini
Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini ameuawa na mwili wake kuchomwa moto baada ya kupotea siku kadhaa nchini humo. Taarifa za kuuawa kwake zimetolewa na baba yake mzazi kupitia mtandao wa…
Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini ameuawa na mwili wake kuchomwa moto baada ya kupotea siku kadhaa nchini humo. Taarifa za kuuawa kwake zimetolewa na baba yake mzazi kupitia mtandao wa…
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel, Do Hong (44) na wenzake saba wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 10 likiwamo la kuisababishia…
Manchester United itakutana na Ajax kwenye fainali ya Europa ligi itakayofanyika katika Uwanja wa Friends Arena katika mji wa Stockholm nchini Sweden ifikapo Mei 24 mwaka huu. Manchester United na…
Jumla ya watu saba wamepoteza maisha na wengine 10 majeruhi kutokana na athari za mvua ya masika zinazonyesha wilayani Korogwe mkoani Tanga. Vifo hivyo vyote vimetokana na maporomoko ya maji,…
Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma amempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuanza ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (Standard Gauge). Zuma ametoa kauli hiyo…
Mwanamuziki wa hip hop, Chid Benzi amesema hakuna msanii mkali kama yeye na hatatokea msanii ambaye anaweza kuchukua nafasi yake kwa mashabiki wake sababu hata hao mashabiki zake wanatambua kuwa…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa amesikitishwa sana na matokeo ya uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) uliofanyika jana usiku bungeni mjini Dodoma kwa upande wa Chadema.…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kwamba haamini kwamba anacheza kamari kwa kuangalia zaidi ubingwa wa ligi ya Europa League. Meneja huyo, ambaye ameamua kuangazia ligi hiyo badala ya kumaliza…
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amsema kuwa Serikali isipokuwa makini wananchi hawatairudisha madarakani. Nape Nnauye alisema hayo jana wakati akichangia katika bajeti ya Wizara ya Maji na kusema serikali…
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezindua gereza la wanawake wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. Katika uzinduzi huo Mhandisi Masauni amesema kuwa serikali kwa kushirikiana na…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametia saini muswada inayowaruhusu wakopeshaji kutumia vifaa vya nyumbani mimea na mifugo ili kujipatia mikopo. Sheria hiyo kwa jina Movable Property Security Acto 2017 inatotoa…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewasili nchini akiwa na mawaziri sita na wafanyabiashara 80. Afrika Kusini imekubali kutoa mafunzo kwa marubani wa Tanzania ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo limetoa orodha ya wachezaji watakaocheza Fainali za Vijana chini ya miaka 17 (U17) zitakazoanza kutimua vumbi wikiendi hii nchini Gabon. CAF imetangaza…
Mwanaharakati nchini Uganda, Dkt. Stella Nyanzi ambaye alikamatwa baada ya kumuita Rais Yoweri Museveni jozi ya makalio amepewa dhamana. Mwanaharakati huyo alizirai alipojaribu kusimama baada ya kikao cha mahakama kuahirishwa…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia walimu wawili na mwanafunzi mmoja wa Shule ya Sekonda Chang'ombe (Mazoezi) kwa tuhuma za kukutwa na mtihani wa kemia wa…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Hamad amekutana na kufanya mazungumzo na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ofisini kwake Ubungo jijini Dar es…
Shule zote katika kisiwa cha Zanzibar zimefungwa kwa muda kutokana na mvua kali ambayo imesababisha mafuriko. Waziri wa elimu wa Zanzibar, Riziki Pembe Juma amesema kuwa mvua hiyo ambayo pia…
Seneta wa Australia, Larissa Waters amekuwa mwanasiasa wa kwanza kunyonyesha katika bunge la taifa hilo. Bi Waters kutoka chama cha mrengo wa kushoto cha Green Party alimnyonyesha mwanawe wa miezi…
Baada ya Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Prof Jay' kusimama bungeni na kumtetea Diamond kuhusu kudaiwa na TRA, mwanamuziki huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kumsifia mbunge huyo. Kupitia ukurasa…
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfukuza kazi mkuu wa Jeshi la nchi hiyo Jenerali Paul Malong. Jenerali Malong anaonekana na raia wa Sudan wengi kama mtu mwenye nguvu, na…
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeidhinisha uamuzi wa kulipatia bara la Afrika nafasi tisa timu zinazoshiriki fainali za Kombe la Dunia zitakapoongezwa na kuwa 48 mwaka 2026. Bara la Afrika…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewasilisha makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka 2017/2018. Waziri huyo aliliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi 930,396,817,000 wakati wa…
Watumishi 134 wa hospitali ya taifa Muhimbili wamebainika kuwa na vyeti vya kughushi vya ngazi ya elimu ya sekondari Tanzania. Taarifa kutoka kwenye uongozi wa hospitali hiyo imesema kuwa hospitali…
Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodgar Tenga ameteuliwa kuwa rais wa kamati ya usimamizi wa mfumo wa leseni kwa vilabu. Uteuzi huo umekuja muda mchache baada ya…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amehoji Polisi kumshikilia mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent Academy baada ya trafiki waliokuwepo barabarani wakati wa ajali iyouwa watu 35 mkoani Arusha. Akiomba…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anatarajiwa kuzuru nchini Tanzania hii leo katika ziara ya rasmi ya siku tatu kufuatia mwaliko wa rais John Pombe Magufuli. Akizungumza na vyombo vya…
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi ametajwa katika orodha ya watumishi ambao vyeti vyao vina matatizo. Uhakiki wa Profesa Kabudi ulifanyika wakati akiwa mkufunzi katika Chuo Kikuu cha…
Mmoja wa wasichana wa Chibok waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria ameamua kusalia na mumewe badala ya kuachiliwa huru. Alitarajiwa kuwa miongoni mwa kundi la wasichana walioachiliwa siku…
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole ameombwa kufukisha kilio cha wakazi wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa Serikali ili wapatiwe chakula cha msaada kukabiliana…
Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane ameshinda tuzo ya mchezaji wa bora wa klabu ya Liverpool msimu wa 2016/17. Mane alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa…